Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

Moja ya kinywaji laini (soft drinks) kinachopendwa Bongo Pepsi inaongoza

Siielewagi mwenzenu, hata hivyo mi sio mtu wa masoda soda japo huwa nazinywa mara chache, hasa hako kamirinda nyeusi kananivutia kwa mbali
 
Jaribu Pepsi hutojuta maisha
Siielewagi mwenzenu, hata hivyo mi sio mtu wa masoda soda japo huwa nazinywa mara chache, hasa hako kamirinda nyeusi kananivutia kwa mbali
😢
 
Hivi faiza fox siku hizi Yuko wapi? Alikuwa anapenda Sana kurekebisha makosa kwenye kiswahili.natamani aendeleze kazi yake.
Yupo bize, si unajua wakat mwingine yule yupo majuu wakat mwingine yupo bongo
 
This is a public health problem of which Watu wengi hawalijui , i think even wizara ya Afya.
Peps kama peps ndani yake kuna kilevi ambacho humufanya mtu kukifikiria kila wakati kama cocane , hivo ukijichanganya ukanywa moja kesho keshokutwa bas hutokaa uache. Mm ni mlevi wa peps nikipata chakula cha mchana lazima iwepo pemben nimejaribu kuacha imeshindikana.
 
Also this is another serious problem. Baada ya miaka michache madhara yake kwenye jamiii tutaanza kuyaona.
Dah! Huu utafiti wako aisee unachekesha... anyway huku nilipo vinywaji vya energy vinatumiwa sana na vinapendwa mpaka na waliokatazwa kuvitumia
 
Naona Pepsi inazidi kupendwa sana na wabongo, sijui kwanini juzi kati nilikuwa Dar kama unavyojua Dar jua kali sana sehemu za vinywaji laini wengi walikuwa wanaagiza pepsi na maji...
Nimeipenda hiyo sentensi ya mwisho, maana nami napata pepsi baridi hapa
 
Naunga mkono hoja, kwa sasa nipo huku kusini.....utafiti wa mtoa mada una ukweli kwa upande huu......watu wanahangaika na pepsi kuliko kawaida.
 
Back
Top Bottom