Kuna kipindi nilitaka kujinyonga, nikakumbuka hii PEPSI namuachia nani?Naona Pepsi inazidi kupendwa sana na wabongo, sijui kwanini juzi kati nilikuwa Dar kama unavyojua Dar jua kali sana sehemu za vinywaji laini wengi walikuwa wanaagiza pepsi na maji...
Miranda haiewi heshima inayostahiliNdugu zangu wa mirinda nyeusi tujuane..
Peps kama peps ndani yake kuna kilevi ambacho humufanya mtu kukifikiria kila wakati kama cocane , hivo ukijichanganya ukanywa moja kesho keshokutwa bas hutokaa uache. Mm ni mlevi wa peps nikipata chakula cha mchana lazima iwepo pemben nimejaribu kuacha imeshindikana.
Dah! Huu utafiti wako aisee unachekesha... anyway huku nilipo vinywaji vya energy vinatumiwa sana na vinapendwa mpaka na waliokatazwa kuvitumia
U are so right, hapana chezea machalariSio nazi.
Iwekwe nyama nyingi zenye mafuta futa.
Abaki huko huko alikoHivi faiza fox siku hizi Yuko wapi? Alikuwa anapenda Sana kurekebisha makosa kwenye kiswahili.natamani aendeleze kazi yake.
Nimeipenda hiyo sentensi ya mwisho, maana nami napata pepsi baridi hapaNaona Pepsi inazidi kupendwa sana na wabongo, sijui kwanini juzi kati nilikuwa Dar kama unavyojua Dar jua kali sana sehemu za vinywaji laini wengi walikuwa wanaagiza pepsi na maji...