ukweliusemwekweupe
Member
- May 2, 2026
- 64
- 55
Kiwango cha chini cha Pensheni kimeongezeka kutoka
Tsh 100,000 hadi
Tsh 250,000
kwa mwezi
Tsh 100,000 hadi
Tsh 250,000
kwa mwezi
Labda wamekufa wazee wako tu huko lakini Huku wamejaa kibao.Wastafuu wenyewe wakowapi nchi hii wanastafu kutokana na ugumu wa maisha hata miaka minne hawatoboi wanakufa
ILabda wamekufa wazee wako tu huko lakini Huku wamejaa kibao.
Nimesema wamejaa kibao, sikumaanisha wangu tu. Nawaona wastaafu tangu 2015 mpaka Leo wapo hapa hapa.Mzee wako ni mfu mtarajiwa ni suala la muda tu mnanaua matanga
I
ACh uongo huo mtaa wenu ni eneo la kambi ya wastafuNimesema wamejaa kibao, sikumaanisha wangu tu. Nawaona wastaafu tangu 2015 mpaka Leo wapo hapa hapa.
Dah 😂Labda wamekufa wazee wako tu huko lakini Huku wamejaa kibao.