ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kiukweli kati ya mambo yanayonikera na nayoyaona ni wizi wa wazi au tozo ambazo ni kero ni huu unaoitwa Ushuru wa stendi.
Logic ya hii tozo ni nini ikiwa abiria anaenda kusafiri na Haingizi Pesa, Kwa nini wanaoingiza pesa au kufaidika Moja Kwa Moja na uwepo wa hizo stendi ndio wawe wanatozwa tozo? Mabasi,bodaboda kwao ni sehemu wanayoenda kupata abiria kirahisi na kuingiza pesa, hao ndio watozwe sio abiria.
Kwa harak haraka mtu utaona ni pesa ndogo lakini ni jambo ambalo ni kero kubwa.Unakuta watu wanafurahia eti Wana stendi Sasa hizo stendi zinakuwa na faida ipi Kwa mwananchi zaidi ya kumuongezea tozo na kuwa kero ya unyonyaji?
Mamlaka zifute tozo hii ya wizi.
View: https://www.instagram.com/reel/DbOXaxOIduK/?igsh=MXFwdW5xYnZrbG95