ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kiukweli kati ya mambo yanayonikera na nayoyaona ni wizi wa wazi au tozo ambazo ni kero ni huu unaoitwa Ushuru wa stendi.
Logic ya hii tozo ni nini ikiwa abiria anaenda kusafiri na Haingizi Pesa, Kwa nini wanaoingiza pesa au kufaidika Moja Kwa Moja na uwepo wa hizo stendi ndio wawe wanatozwa tozo? Mabasi,bodaboda kwao ni sehemu wanayoenda kupata abiria kirahisi na kuingiza pesa, hao ndio watozwe sio abiria.
Kwa harak haraka mtu utaona ni pesa ndogo lakini ni jambo ambalo ni kero kubwa.Unakuta watu wanafurahia eti Wana stendi Sasa hizo stendi zinakuwa na faida ipi Kwa mwananchi zaidi ya kumuongezea tozo na kuwa kero ya unyonyaji?
Mamlaka zifute tozo hii ya wizi.
View: https://www.instagram.com/reel/DbOXaxOIduK/?igsh=MXFwdW5xYnZrbG95
Kwa hiyo unabisha kuwa ukiwa na ticket haupiti lazima utoe hela?Uache uongo..Kuingia Stendi yoyote abiria ni lazima ulipie getini kwanza Sh mia 3 bwana
Mimi nikiulizwa kero yangu kubwa aisee ni wapiga debe. Wapuuzi wanakera wale, wana umuhimu gani wa kuwepo wakati kila basi lina ofisi yake na kuna maandishi makubwa kabisaInatakiwa ukiingia uonyeshe tiketi ya safari.
Hata hivyo stendi bado zimejaa watu wengi tu wanaoingia bila kulipa ushuru na wanasumbua abiria
Kama huelewi msongamano mkubwa unaathiri vipi matumizi ya stendi sina cha kuongea ukanielewaKuna athiri vipi matumizi ya stendi?
Lini nilikwambia Mimi ni mwana CCM? Au kuwa chawa manake nini?
Mimi ni shabiki wa SSH na hizo tozo zimekuwepo miaka yote hazijaanza Leo.
Je kuwa chawa and the likes kunafanya ufumbie macho mambo kero? Kwani unadhani Chadomo mkiwa Marais ndio Nchi itakuwa ya awali na Maziwa?
Mwisho ni kweli ameuoiga mwingi kwani uongo? Kujenga stendi Kila mkoa Kila Mji sio kupiga mwingi?
Hoja ni kwamba tozo ziondolewe Kwa abiria ni wizi na kero,tozo za kihuni hazipaswi kuwa Mapato ya Halmashauri,stendi ni Huduma abiria haendi kufanya biashara
View: https://www.instagram.com/p/DbZ7LAxDENE/?igsh=dTF4Nm81dHZ4N3Ry
Kuishi kwa kulamba matako ya viongozi. Leo unajifanya hujuiUchawa ndio nini?
Kivipi? Wewe si ni shabiki wa Chadomo na wale vibaraka wenu kina Lisu na Heche? Wewe hapo ni chawa au zero brain?Huo ushabiki ndio uchawa wenyewe mkuu kwani wewe ni ziro brain kiasi hicho
Sasa Mimi silambi na sijui hata kama Kuna wanaolambaKuishi kwa kulamba matako ya viongozi. Leo unajifanya hujui
Mimi sio chawa wa mtuKivipi? Wewe si ni shabiki wa Chadomo na wale vibaraka wenu kina Lisu na Heche? Wewe hapo ni chawa au zero brain?
Acha ujinga ,tozo zinazolipwa lazima ziwe na maana sio wizi na kuwa kero.Nani alikuambia tozo ni kwa wanaoingiza pesa tu?
Lipa kwa maendeleo ya nchi yako,nyie si ndiyo wazalendo wa nchi hii.😀