ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Ule ni wizi Kwa abiria,hauna mantiki yeyoteSubiri utozwe mpaka kodi ya kichwa
Kulalamika kinahusianaje na mbogamboga?Nashangaa mtu wa mbogamboga nawe unalalamika.
Hiyo tiketi unaitoa Nje? Stendi ni sehemu ya kupakia na kushusha abiria mambo ya msongamano yanahusikaje hapa?Mimi nadhani lengo ilikuwa kupunguza msongamano ndani ya stendi. Ndio maana stendi zinazoendeshwa na binadamu wenye utu ukiwa na ticket hutoi hiyo 300
Chawa ndio nini?NIMESHANGAA SANA KUWA CHAWA MKUU WA MACHAWA WA MAMA NAYE ANALALAMIKA.
Acha uongo wewe hiyo tozo ni ya lazima kabisa..Mimi nadhani lengo ilikuwa kupunguza msongamano ndani ya stendi. Ndio maana stendi zinazoendeshwa na binadamu wenye utu ukiwa na ticket hutoi hiyo 300
Kuna wengine wanaweza kuwa wanaingia tu kuzurura bila sababu ya msingi na kusababisha usumbufu kwa abiriaHiyo tiketi unaitoa Nje? Stendi ni sehemu ya kupakia na kushusha abiria mambo ya msongamano yanahusikaje hapa?
We vipi aisee, hujanywa chai? Na kama hujanywa nani amekwambia unatakiwa kuja kutolea hasira kwangu? Pita hivi kama ni stress mimi mwenyewe nina zanguAcha uongo wewe hiyo tozo ni ya lazima kabisa..
Sema Mimi huwa nagoma..namwambia agent wa Bus aliyenikatia tiketi kwamba sina mia 3..ananilipia yeye..
Inatakiwa ukiingia uonyeshe tiketi ya safari.Kuna wengine wanaweza kuwa wanaingia tu kuzurura bila sababu ya msingi na kusababisha usumbufu kwa abiria
Kiukweli kati ya mambo yanayonikera na nayoyaona ni wizi wa wazi au tozo ambazo ni kero ni huu unaoitwa Ushuru wa stendi.
Logic ya hii tozo ni nini ikiwa abiria anaenda kusafiri na Haingizi Pesa, Kwa nini wanaoingiza pesa au kufaidika Moja Kwa Moja na uwepo wa hizo stendi ndio wawe wanatozwa tozo? Mabasi,bodaboda kwao ni sehemu wanayoenda kupata abiria kirahisi na kuingiza pesa, hao ndio watozwe sio abiria.
Kwa harak haraka mtu utaona ni pesa ndogo lakini ni jambo ambalo ni kero kubwa.Unakuta watu wanafurahia eti Wana stendi Sasa hizo stendi zinakuwa na faida ipi Kwa mwananchi zaidi ya kumuongezea tozo na kuwa kero ya unyonyaji?
Mamlaka ziangalie upuuzi wa hivi na wazifute.