HOJA Moja ya mambo yanayonikera ni kulipa tozo unapoingia stendi. Kwanini abiria atozwe pesa wakati haingizi pesa?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
Hata
Mimi siungi mkono hizo tozo.siku moja nimetoka zangu mkoani naenda kigoma,tuliposhushwa pale stendi mpya tutoke getini kila abiria kukatizwa. nikawaambia mimi ni abiria na nikaonyesha tiketi lkn wapi ila na mimi ninatumia ubabe nikapenya getini nikaondoka zangu sababu niliona huo ni upuuzi mtupu.
 
Nani alikuambia tozo ni kwa wanaoingiza pesa tu?

Lipa kwa maendeleo ya nchi yako,nyie si ndiyo wazalendo wa nchi hii.😀
 
Inatakiwa ukiingia uonyeshe tiketi ya safari.
Hata hivyo stendi bado zimejaa watu wengi tu wanaoingia bila kulipa ushuru na wanasumbua abiria
Mimi nikiulizwa kero yangu kubwa aisee ni wapiga debe. Wapuuzi wanakera wale, wana umuhimu gani wa kuwepo wakati kila basi lina ofisi yake na kuna maandishi makubwa kabisa
 
Huo ushabiki ndio uchawa wenyewe mkuu kwani wewe ni ziro brain kiasi hicho
 
Huo ushabiki ndio uchawa wenyewe mkuu kwani wewe ni ziro brain kiasi hicho
Kivipi? Wewe si ni shabiki wa Chadomo na wale vibaraka wenu kina Lisu na Heche? Wewe hapo ni chawa au zero brain?
 
Nani alikuambia tozo ni kwa wanaoingiza pesa tu?

Lipa kwa maendeleo ya nchi yako,nyie si ndiyo wazalendo wa nchi hii.😀
Acha ujinga ,tozo zinazolipwa lazima ziwe na maana sio wizi na kuwa kero.

Tunalipa vingapi Kwa Ajili ya maendeleo? Hii Haina tofauti na ule ujinga wa tozo ya Zimamoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…