Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Moja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu in huu kwamba Elimu ni bora kuliko pesa
Yani nakumbuka kipindi nipo shule kwenye debate kupitia motion hii ya "Education is better than money" nilikuwa naitetea sana elimu nikiamini ndiyo kila kitu kwenye maisha
Leo nimehitimu chuo nina degree ila bado sioni umuhimu wa elimu kwakuwa sina pesa sina ajira nadharaulika mtaani
Kweli najutia kuitetea elimu, This is painful truth