However, we can not underestimate the importance of debates in schools.
Debates are useful to build your linguistic proficiency and skills. They train you to have confidence and acquire basic oratory capabilities.
I don't care how stupid the debate motion is, i care about its intended outcome.
Mimi nilikuwa nguli wa Kingereza kutokana na kujiamini shuleni na kupewa nafasi nyingi za kujieleza. Na imenisaidia sana mpaka vyuo vikuu nilivyopita nilikuwa bingwa kweli kweli nachapa ung'eng'e kama mzungu koko.
Wakati wengine wakibabaika kujieleza kwa kingereza cha ugoko kwenye presentations, mimi nilikuwa nawaburuza tuu na imenisaidia sana kwa kweli. Uwezo wangu wa lugha kwa ujumla ni imara sana.
Nilipokuwa High School, walimu walikuwa wananing'ang'ania niende kwenye inter-schools debates competitions ili nikawaoshee. Nilikuwa bingwa haswa ila sikuwa napenda sana nikawa nagoma.
Hata walimu na lecturers kwenye shule na vyuo nilivyopita hakuna aliyeweza kufikia umahiri wangu wa Lugha na Kiingereza.
Kila nilipopewa nafasi ya kuzungumza walikuwa wananywea kweli kweli. My language was extremely powerful.
Ni kama nilikuwa nawa-overpower kwa zile skills za lugha.
Cc:
Poor Brain Extrovert