Moja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu ni "Education is better than money"

Moja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu ni "Education is better than money"

Education "Elimu" ni nini kwanza. Ni vyeti , degree, PhD ?. Au. tuanzie hapo.
 
However, we can not underestimate the importance of debates in schools.

Debates are useful to build your linguistic proficiency and skills. They train you to have confidence and acquire basic oratory capabilities.

I don't care how stupid the debate motion is, i care about its intended outcome.

Mimi nilikuwa nguli wa Kingereza kutokana na kujiamini shuleni na kupewa nafasi nyingi za kujieleza. Na imenisaidia sana mpaka vyuo vikuu nilivyopita nilikuwa bingwa kweli kweli nachapa ung'eng'e kama mzungu koko.

Wakati wengine wakibabaika kujieleza kwa kingereza cha ugoko kwenye presentations, mimi nilikuwa nawaburuza tuu na imenisaidia sana kwa kweli. Uwezo wangu wa lugha kwa ujumla ni imara sana.

Nilipokuwa High School, walimu walikuwa wananing'ang'ania niende kwenye inter-schools debates competitions ili nikawaoshee. Nilikuwa bingwa haswa ila sikuwa napenda sana nikawa nagoma.

Hata walimu na lecturers kwenye shule na vyuo nilivyopita hakuna aliyeweza kufikia umahiri wangu wa Lugha na Kiingereza.

Kila nilipopewa nafasi ya kuzungumza walikuwa wananywea kweli kweli. My language was extremely powerful.

Ni kama nilikuwa nawa-overpower kwa zile skills za lugha.

Cc: Poor Brain Extrovert
Wee ni mtaalamu sana sema ni vile tuu huku jf unatufanya wenzako machizi na maneno yako 😂😂😂
 
Hiyo elimu yako ni mara 100 angeipata yule mbunge Msukuma na sio wewe.
Unalalamika elimu haijakupa ulichotaraji, sasa ulitegemea usome unalize chuo then watu waanze kuja kwako kutaka kukuajiri??

Bwanamdogo ukiendelea na hii kitu soon utakuja uzi wa kukata tamaa ya maisha. Mnaanzaga hivihivi.
 
Thank yuu chair person, thank time keeper, and other member of this debate.

Am hear to support this debate that education is better than maney.

Becouse you can have maney but if you do not have education your will not count your money.

Second point If you have not education you will not read becouse school is education we got

Third point education can give work and work is give us basic need

Thank time keeper🤌🤌🤌🤌[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ungesee mtupu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom