Nyanda Banka
JF-Expert Member
- Mar 14, 2023
- 304
- 1,054
Siku hizi subira anavuta bangi thus heri hakuna
Moja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu in huu kwamba Elimu ni bora kuliko pesa
Yani nakumbuka kipindi nipo shule kwenye debate kupitia motion hii ya "Education is better than money" nilikuwa naitetea sana elimu nikiamini ndiyo kila kitu kwenye maisha
Leo nimehitimu chuo nina degree ila bado sioni umuhimu wa elimu kwakuwa sina pesa sina ajira nadharaulika mtaani
Kweli najutia kuitetea elimu, This is painful truth
Ujingaaa mtupuuThank yuu chair person, thank time keeper, and other member of this debate.
Am hear to support this debate that education is better than maney.
Becouse you can have maney but if you do not have education your will not count your money.
Second point If you have not education you will not read becouse school is education we got
Third point education can give work and work is give us basic need
Thank time keeperπ€π€π€π€π€π€π€π€
ππππππ Ungesee mtupu
Tumia elimu yako kupata pesaMoja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu in huu kwamba Elimu ni bora kuliko pesa
Yani nakumbuka kipindi nipo shule kwenye debate kupitia motion hii ya "Education is better than money" nilikuwa naitetea sana elimu nikiamini ndiyo kila kitu kwenye maisha
Leo nimehitimu chuo nina degree ila bado sioni umuhimu wa elimu kwakuwa sina pesa sina ajira nadharaulika mtaani
Kweli najutia kuitetea elimu, This is painful truth
Hoja ya elimu kuwa bora kuliko hela ipo sahihi hadi leo, sema tu ulitetea motion bila kuielewa. Sasa hivi unadhani umegundua kuwa ni tofauti, lakini si tofauti kwa uhalisia wake, ila kwa mtazamo wako uliotoka nao tangu enzi hizo za debate (ambao kwa bahati mbaya haujafanikiwa kubadilika licha ya kuongeza madarasa).Leo nimehitimu chuo nina degree ila bado sioni umuhimu wa elimu kwakuwa sina pesa sina ajira nadharaulika mtaani
Dr natamani uchambue kidogo hapo kwenye kuwekeza kwenye spiritual, kuwekeza kwa namna Gani ??Elimu inabidi ikupe haya mambo
Persuasion
Influencing
Fine tune
And being a leader
Ikiwa una hayo mambo ebu wekeza katika spiritually then utanipa matokeo