KING KIGODA
JF-Expert Member
- Dec 28, 2018
- 3,893
- 3,145
Aiseee!πππThank yuu chair person, thank time keeper, and other member of this debate.
Am hear to support this debate that education is better than maney.
Becouse you can have maney but if you do not have education your will not count your money.
Second point If you have not education you will not read becouse school is education we got
Third point education can give work and work is give us basic need
Thank time keeperπ€π€π€π€π€π€π€π€
ππππππ Ungesee mtupu
Umehitimu chuo gani Leo na wapi wapi?mbona mud waMoja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu in huu kwamba Elimu ni bora kuliko pesa
Yani nakumbuka kipindi nipo shule kwenye debate kupitia motion hii ya "Education is better than money" nilikuwa naitetea sana elimu nikiamini ndiyo kila kitu kwenye maisha
Leo nimehitimu chuo nina degree ila bado sioni umuhimu wa elimu kwakuwa sina pesa sina ajira nadharaulika mtaani
Kweli najutia kuitetea elimu, This is painful truth
Konkooo nkooo time is overThank yuu chair person, thank time keeper, and other member of this debate.
Am hear to support this debate that education is better than maney.
Becouse you can have maney but if you do not have education your will not count your money.
Second point If you have not education you will not read becouse school is education we got
Third point education can give work and work is give us basic need
Thank time keeperπ€π€π€π€π€π€π€π€
ππππππ Ungesee mtupu
Sio ameshindwa kuitumia elimu sema elimu aliyopata ndio hamtengenezei mhitimu uwezo wa kujinasua. Tatizo ni la mfumo si la mhitimu mmoja mmoja.Nadhani umeshindwa kutumia elimu yako ikunasue
12 years later....πππ Im so fucced up!!! Lord forgive me for my SinsThank yuu chair person, thank time keeper, and other member of this debate.
Am hear to support this debate that education is better than maney.
Becouse you can have maney but if you do not have education your will not count your money.
Second point If you have not education you will not read becouse school is education we got
Third point education can give work and work is give us basic need
Thank time keeperπ€π€π€π€π€π€π€π€
ππππππ Ungesee mtupu
Thank you CharlestonAiseee!πππ
I have one point to conclude my pointKonkooo nkooo time is over
Welcome another partcipant from oppser side.
Thank chairperson for giving me this Chance..12 years later....πππ Im so fucced up!!! Lord forgive me for my Sins
Nyoko kweli wewe πππ nimecheka hadi nimejambaI have one point to conclude my point
πππππππππThank yuu chair person, thank time keeper, and other member of this debate.
Am hear to support this debate that education is better than maney.
Becouse you can have maney but if you do not have education your will not count your money.
Second point If you have not education you will not read becouse school is education we got
Third point education can give work and work is give us basic need
Thank time keeperπ€π€π€π€π€π€π€π€
ππππππ Ungesee mtupu
Ahahha nakubali sana bichwa kumbe una akili eeehElimu ni muhimu sana lakini inategemea ni ELIMU GANI?
Kama ni ile ELIMU ya PANZI ANA MIGUU MINGAPI, kwa kweli ni bora maokoto kuliko habari za panzi.
Kuna elimu na ELIMU. Lazima uelewe tofauti.
Wengi wenu mlienda shule KUSOMEA UJINGA na sio kupata elimu ya kwelii.
Cc: Poor Brain faiza foxy NAMBA MOJA AJAYE NCHINI min -me DR Mambo Jambo
Kumbe ni chronic whinnerYou need to calm down. Vinginevyo utapata depression na hata kuokota makopo maana nyuzi zako nyingi ndiko zinakoelekea!
Halafu nikwambie kitu. Nobody cares na maisha yako ni jukumu lako mwenyewe. Kulalamika kote huku hakutakusaidia cho chote. Sana sana lia na wazazi wako waliokupeleka shule badala ya kukupatia mtaji baada ya kumaliza form four. Life ain't for sissies!
Wake up!
Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi. Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado. SO WHAT WE GONNA DOwww.jamiiforums.com Nimekubali elimu ya shule haina maana mtaani
Haya naombeni ushauri wenu, mimi kama mhitimu nawezaje kuanza kuukabili mtaa ili nipate ata kashughuli kangu binafsi. Nimezungusha barua na CV mpaka kwenye vituo vya kulelea yatima lakini ngoma ngumu bado. SO WHAT WE GONNA DOwww.jamiiforums.com Shule ilitupotezea muda ndomana tunateseka
Kila nikikumbuka nilivyokuwa napambana kusoma shuleni ilihali nije kuishi Maisha mazuri baadae naumia sana Kweli nimeamini shule ilinipoteza muda mnowww.jamiiforums.com Umuhimu wa kusoma Chuo Kikuu uko wapi sasa?
Kwanini watu wenye Certificate na Diploma wanapata ajira sana kuliko wenye Degree Daaah!! Kwahiyo tunahukumiwa na elimu yetu kisa kusoma kwa bidii jamaniwww.jamiiforums.com
πππππ Upo wapi kwanza πππ€Nyoko kweli wewe πππ nimecheka hadi nimejamba
Wee ni mtaalamu sana sema ni vile tuu huku jf unatufanya wenzako machizi na maneno yako ya hovyo ππππππππHowever, we can not underestimate the importance of debates in schools.
Debates are useful to build your linguistic proficiency and skills. They train you to have confidence and acquire basic oratory capabilities.
I don't care how stupid the debate motion is, i care about its intended outcome.
Mimi nilikuwa nguli wa Kingereza kutokana na kujiamini shuleni na kupewa nafasi nyingi za kujieleza. Na imenisaidia sana mpaka vyuo vikuu nilivyopita nilikuwa bingwa kweli kweli nachapa ung'eng'e kama mzungu koko.
Wakati wengine wakibabaika kujieleza kwa kingereza cha ugoko kwenye presentations, mimi nilikuwa nawaburuza tuu na imenisaidia sana kwa kweli. Uwezo wangu wa lugha kwa ujumla ni imara sana.
Nilipokuwa High School, walimu walikuwa wananing'ang'ania niende kwenye inter-schools debates competitions ili nikawaoshee. Nilikuwa bingwa haswa ila sikuwa napenda sana nikawa nagoma.
Hata walimu na lecturers kwenye shule na vyuo nilivyopita hakuna aliyeweza kufikia umahiri wangu wa Lugha na Kiingereza.
Kila nilipopewa nafasi ya kuzungumza walikuwa wananywea kweli kweli. My language was extremely powerful.
Ni kama nilikuwa nawa-overpower kwa zile skills za lugha.
Cc: Poor Brain Extrovert
Umesomea chuo gani, mkuu? Pia high school ulisoma kombi gani?Leo nimehitimu chuo nina degree ila bado sioni umuhimu wa elimu kwakuwa sina pesa sina ajira nadharaulika mtaani
Huyu ni mzigo, inaonesha hayuko creative na hajui maana na uzito wa elimu yake. Hata ukimwajiri hawezi kukupa matokeo sababu si mtu wa kujiongeza.Nadhani umeshindwa kutumia elimu yako ikunasue