Moja ya ujinga niliowahi kuutetea katika maisha yangu ni "Education is better than money"

Education "Elimu" ni nini kwanza. Ni vyeti , degree, PhD ?. Au. tuanzie hapo.
 
Wee ni mtaalamu sana sema ni vile tuu huku jf unatufanya wenzako machizi na maneno yako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hiyo elimu yako ni mara 100 angeipata yule mbunge Msukuma na sio wewe.
Unalalamika elimu haijakupa ulichotaraji, sasa ulitegemea usome unalize chuo then watu waanze kuja kwako kutaka kukuajiri??

Bwanamdogo ukiendelea na hii kitu soon utakuja uzi wa kukata tamaa ya maisha. Mnaanzaga hivihivi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…