Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
- Thread starter
- #41
Hata awe na demand gani haupaswi kumuamini maneno ya JambaziLabda Mkuu kitu ambacho hujaelewa ni Kuwa Aliyeteka anakuwa na ni demand zake ndio maana kateka hivyo hawezi kumuua mpaka matakwa yake yatimizwe
Ndio maana polisi au hao ma stering wa kwenye movie huwa wanakubali kwanza matakwa yao pia inasaidia kuvuta muda..
In reality Jambazi hawezi kukuacha kisha akimbie huku akijua kabisa umemuona na soon baada ya yeye kuondoka utaweza kupiga dispatch kuomba backup muanze kumfukuza ambapo mkimkamata ni kifungo cha miaka mingi gerezani.