Moja ya vitu ambavyo directors wa action movies wanafeli

Hata awe na demand gani haupaswi kumuamini maneno ya Jambazi

In reality Jambazi hawezi kukuacha kisha akimbie huku akijua kabisa umemuona na soon baada ya yeye kuondoka utaweza kupiga dispatch kuomba backup muanze kumfukuza ambapo mkimkamata ni kifungo cha miaka mingi gerezani.
 
Nakubaliana na wewe kuwa sio kila jambazi ni muuaji lakini swali ni je utajuaje kuwa huyu si muuaji anatishia tu ili atoroke?

Vipi kama anatumia mateka kama njia ya kukushawishi ukubali kusalimisha silaha yako ili apate nafasi ya kukumaliza kufuta ushahidi?
 
Ni kweli akijificha nyuma ya huyo mtu inakuwa ni ngumu kupata target

Lakini kwa namna moja mazingira yanaweza kutofautiana kutokana na kimo cha Mateka.

Endapo Jambazi akiwa mrefu kuliko Mateka basi chance ya Jambazi kujificha inaweza kuwa katika mazingira magumu.

Kwasababu kuficha kichwa nyuma ya kichwa cha Mateka ni kukubali kutomuona Polisi ambapo hiyo inaweza kuwa risk kwa Jambazi.
 
Kwanza kabisa huyu mtekaji anajua kufa na kupona wakati wowote ni sehemu ya kazi yake. Hivyo ni lazima atakuwa professional sana kujua hatari hiyo inapokaribia.

Halafu huyo mateka na jamaa anayeenda kumuokoa wanaweza kuwa na advantage fulani hivyo hawezi kuwaua pasipo ulazima. Mfano huyo mateka anatakiwa apatikane hai ili mtekaji apate pesa.
 
Paragraph yang ya mwisho nime finalize boss
 
Paragraph yang ya mwisho nime finalize boss
Niliona Mkuu ila nilikuwa naongezea maswali kwa wadau ambao wanaweza kuona kusalimisha silaha ndio best option
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…