Mokwena: Tunaiheshimu Yanga. Kwa watu waelewa hii kauli ni mbaya

Inafurahisha kwa kweli, [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mechi ya Yanga na Mamelody imekuwa gumzo, wakati Mechi itakayotangulia kuchezwa ni ya Simba Vs Al Ahly
 
MIND GAMES TU, ILA MPIRA NI DAKIKA 90+
 
Maeneo mengi Watz huwa tunashindwa kwa kukosa ujasiri. Jiani, pambana mengine yatakuja huko huko.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Naionea huruma gongowazi masandawana wanaenda kugonga palepale kwenye ugoko
 
Ushabiki sometimes ni uchizi, sasa kocha gani uliona anadharau mechi kwa kusema hamuheshimu mpinzani.

Hata akiwa anacheza na timu daraja la 3 bado atasema anamuheshimu mpinzani.
Au umeanza kupenda mpira baada ya droo ya caf??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…