Tariq f
JF-Expert Member
- Dec 11, 2021
- 233
- 347
- Thread starter
- #41
Zipo hizo mechi,Ushabiki sometimes ni uchizi, sasa kocha gani uliona anadharau mechi kwa kusema hamuheshimu mpinzani.
Hata akiwa anacheza na timu daraja la 3 bado atasema anamuheshimu mpinzani.
Au umeanza kupenda mpira baada ya droo ya caf??
Kocha wa Jwaneng Galaxy hakuonyesha nidhamu mbele ya Simba na kusema ni kikosi cha wazee Lakini Simba akapiga Sita.