Zipo hizo mechi,Ushabiki sometimes ni uchizi, sasa kocha gani uliona anadharau mechi kwa kusema hamuheshimu mpinzani.
Hata akiwa anacheza na timu daraja la 3 bado atasema anamuheshimu mpinzani.
Au umeanza kupenda mpira baada ya droo ya caf??
Mashabiki wa Simba ni mambumbumbu na wengi wenu sio hamjui tu, bali hamfuatilii kabisa soccar.Simba ina rekodi yake na Al Ahly, sio jambo geni lianze kuzungumzwa sana.
Yanga ina Rekodi ipi Vs Masandawana?
Ni mara ya kwanza katika historia ndio zinakutana uso kwa uso
View attachment 2944932
We bata maji, Yanga vs Mamenlody walishakutana 2001.Sasa si ndo ulete hapa uthibitisho wa hicho unacho kisemaa.
Kubali tu game yenu haina mvuto.Simba vs Al Ahly
Hii ni dabi ya Afrika.
Hakuna mhemko na kelele nyingi.
Mazembe mwaka huu haijachoka.Mamelodi anawatisha watu ambao hawaujui mpira wa africa ukoje.
mazembe tu ya mwaka huu iliyojichokea kamtoa jasho mamelodi agreggate 1 - 1 mechi 2. na hapo mamelodi kapewa penalty
Kama ni mdomo wakuongea mnao na hadi mimate inaruka ..yanga mmeidharau mamelodi kwa kiwango kikubwa sana.We kenge kuna mtu anaenda vitani asipeleke siraha zake zote?. Kwa hiyo kama kauli yake ni mbaya kwa hiyo wewe umekuja kumsemea unamtisha nani? YANGA? Halafu ukimtisha YANGA,afanyeje? Asiende kucheza?.
Mikia mna matatizo. Kwa akili zenu mnatamani mkamchezee nyie YANGA,ili mupigwe hata 5. Huyo unaemsemea nakutuma tena nenda kamwambie alete timu uwanjani. Vitisho havina nafasi. Mpira ni dakika 90 uwanjani
Kama yanga wanavyoidharau pakubwa mamelodi kwamba watawapiga 5. Na kule kwa madiba watawapiga 4.Zipo hizo mechi,
Kocha wa Jwaneng Galaxy hakuonyesha nidhamu mbele ya Simba na kusema ni kikosi cha wazee Lakini Simba akapiga Sita.
Humu hakuna wachezaji wote ni wapiga domoKama ni mdomo wakuongea mnao na hadi mimate inaruka ..yanga mmeidharau mamelodi kwa kiwango kikubwa sana.
Hii timu ya wananchi wa mwiko nyuma ina shida sana13 na 26 2001View attachment 2945210
Aaah so kweli.Hii timu ya wananchi wa mwiko nyuma ina shida sana
Unapimwa kwa ongea yako. Wewe wakuwahishe milembe soon,kabla hujaenda hatua ya pili.Kama ni mdomo wakuongea mnao na hadi mimate inaruka ..yanga mmeidharau mamelodi kwa kiwango kikubwa sana.
Kama ni mdomo wakuongea mnao na hadi mimate inaruka ..yanga mmeidharau mamelodi kwa kiwango kikubwa sana.Unapimwa kwa ongea yako. Wewe wakuwahishe milembe soon,kabla hujaenda hatua ya pili.