Mola aniepushe na hili pepo la kupenda mke wa mtu

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza

Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa mimi na yeye tunapata shida, inafiki hatua akiwa na mumewe anapita kwa kujibanza banza sijui anahisi nawaza nini, kama nisipowahi kusolve hili, mumewe atapata shida sana. Kodi inakaribia kuisha, itanibidi nihame kwa kweli

Kuna watu wanafaidi ndugu zanguni. Somebody with chocolate body colour, hizo paja😋, akiwa anafua anafunga rubega, mmh mh mh mh mmmmmmh, tumacho fulani hivi twa kulia lia, toto wa mtu hana makuu, full shangwe na furaha iliyoambatana na aya usoni. Mola anaumba aisee

Na Mola aniepushie hili!
 
Ngoja ufirwe
Kwa mazingira yalivyokaa kaa hapa mtaani, nikisema niimbishe na yeye akubali, nitapiga mashine mpaka nichoke pasi na kufumwa. Ni vile tu hata mimi nafsi inanisuta ukizingatia wanawake ni watu wasioweza kuficha hisia, naogopa sana kuteketeza ndoa ya watu, japo ni Brand New
 
Kua selective kwa mke wa mtu hiyo ni mental case kabisa.
Hivi mkuu, mwanamke mwenyewe ukimuona utaweza kuvumilia? Binafsi nimeshindwa ila najikaza, najikuna pale ninapofikia

NB: Hakuna picha ya kusindikizia uzi hapa
 
Wewe hujampenda bali umemtamani,mwanaume hakupewa moyo na akili ya kupenda mwanaume anajali anapojaliwa.
Screenshot_2024-10-31-19-50-59-444_com.google.android.apps.photos-edit.jpg
 
Siku tisini tu ukiwa naye utamuona wa kawaida sana. BTW Kuna tofauti kati ya kupenda na kutamani
 
Aisee, nyie acheni tu. Nimejizuia kumpenda nimeshindwa, lakini nimefanikiwa kwa 40%, kwenye hizo parcent nimejizuia kumsogelea karibu wala kumsemesha japo kwa salamu, ingawa macho yangu yanapokutana na yake kuna namna yanazungumza

Mwanzoni mimi ndiye niliyekuwa napata shida, lakini kwa sasa mimi na yeye tunapata shida, inafiki hatua akiwa na mumewe anapita kwa kujibanza banza sijui anahisi nawaza nini, kama nisipowahi kusolve hili, mumewe atapata shida sana. Kodi inakaribia kuisha, itanibidi nihame kwa kweli

Kuna watu wanafaidi ndugu zanguni. Somebody with chocolate body colour, hizo paja😋, akiwa anafua anafunga rubega, mmh mh mh mh mmmmmmh, tumacho fulani hivi twa kulia lia, toto wa mtu hana makuu, full shangwe na furaha iliyoambatana na aya usoni. Mola anaumba aisee

Na Mola aniepushie hili!
Andaa na maji kidumu cha Rita tano kijana
 
Back
Top Bottom