Moloko wa Yanga SC ana mengi ya kujifunza kutoka Asha Djafar wa Simba Queens

Moloko wa Yanga SC ana mengi ya kujifunza kutoka Asha Djafar wa Simba Queens

Ukitizama uchezaji wa hawa wachezaji wawili utagundua kuwa Jesus Moloko kaachwa mbali sana na Asha Djafar


View attachment 2337393
.

View attachment 2337394
Sawa Asha umesikika
IMG_20220826_200405.jpg
 
Moloko ananifurahishaga sana yaani kwanza akiingia tu anakunja bukta mda wote yeye anawaza mbio tu.
 
Huyo ni shabiki tu kavaa jezi anaweza akavalishwa na mtu akamrekodi ila nyinyi ndo chuo cha mambo hayo kuna mama j na kabwili na alisema ameacha wenzake kama 6 pale yanga hilo ndo la kupost kuliko hyo picha ya shabiki.
Sawa Shabiki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119] simba mna mdomo
 
Back
Top Bottom