Mombasa City Gallery

Chakushangaza wanaitaja dar!!
Kwanini wanaogopa kulinganisha miji hii
Ili tuone
Hahaha. Hawa watu wahurumie tu my dear,
Kila Tukiwaambia waanzishe Uzi wa Dar Vs Mombasa hawataki.
 
Mombasa inakimbizana na Nairobi kwa uwekezaji. Baadhi ya proposals are
1. Jaffer Complex Under construction



Mosque element complete


Other towers under construction


Star Shine Apartments (UC)


moonlight Apartments (UC)


Estate projects
Tom Mboya


Likoni flats


Khadija


Buxton


Changamwe


Nyerere


Mombasa is coming so fast, even Nairobi should brace itself
 
Picha ni zile zile, wanapiga toka angle tofauti.
Mombasa ni mdogo kuliko Tanga.
tanga ndio uchafu gani sasa....tanga ipambanishe na lamu uko.APA tunataka dar yenye aerial shot yake inakaa ka msitu na kiroad kimoja katikati in the name of brt...
 
Picha ni zile zile, wanapiga toka angle tofauti.
Mombasa ni mdogo kuliko Tanga.
tanga ndio uchafu gani sasa....tanga ipambanishe na lamu uko.APA tunataka dar yenye aerial shot yake inakaa ka msitu na kiroad kimoja katikati in the name of brt...
 
Chakushangaza wanaitaja dar!!
Kwanini wanaogopa kulinganisha miji hii
Ili tuone

Tulianzisha moja ya Nakuru na Mwanza watu toka TZ wakaiharibu, wakishaona mambo yamewazidi, Sasa hii ya Mombasa na Dar ndio wataharibu kabisa, huyu jamaa aitwa Anneal na mwenzake kadoda, huwa hawawezi vumilia kabisa kuona miji yao inanyooshwa na miji ya Kenya. Anzisha huo uzi Mombasa na Dar utaona, kurasa nne tu halafu utaona wemesha haribu
 
Wacha utani
Dar hii ulinganishe na Mombassa!!
 
I never thought Mombasa is that beautiful until today when I went though this 3 tones thread.

Africa is always beautiful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…