saadeque
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 2,169
- 1,356
hahahahaaa.. ....jamaa watakuja bwabwaja matope hapaDaah!! Mombasa safi sana!!! Hapo umetosha kuonesha Mombasa ishaibwaga Dar kwa mbali tena!! Asante kwa hzo picha kali!! Hebu tupe zingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaaa.. ....jamaa watakuja bwabwaja matope hapaDaah!! Mombasa safi sana!!! Hapo umetosha kuonesha Mombasa ishaibwaga Dar kwa mbali tena!! Asante kwa hzo picha kali!! Hebu tupe zingine
dar imejaa kisonono na kipindupindu
Mbona kila nikiangalia picha hizohahahahaaa.. ....jamaa watakuja bwabwaja matope hapa
Picha ni zile zile, wanapiga toka angle tofauti.Mbona kila nikiangalia picha hizo
Zina jirudia rudia
Majengo 2 kila picha yapo!!!
Kumbe ndio maana mnapigizana makelele na wale jamaa!!Maji machafu Dar unashikwaa tu amoebiasis
Chakushangaza wanaitaja dar!!Picha ni zile zile, wanapiga toka angle tofauti.
Mombasa ni mdogo kuliko Tanga.
Hahaha. Hawa watu wahurumie tu my dear,Chakushangaza wanaitaja dar!!
Kwanini wanaogopa kulinganisha miji hii
Ili tuone
Dada...kama vile wabongo wakitajiwa dar picha utaletewa niya pspf na TPA...Mbona kila nikiangalia picha hizo
Zina jirudia rudia
Majengo 2 kila picha yapo!!!
Inaitwa angle different. Wewe post za Dar tuone.Mbona kila nikiangalia picha hizo
Zina jirudia rudia
Majengo 2 kila picha yapo!!!
tanga ndio uchafu gani sasa....tanga ipambanishe na lamu uko.APA tunataka dar yenye aerial shot yake inakaa ka msitu na kiroad kimoja katikati in the name of brt...Picha ni zile zile, wanapiga toka angle tofauti.
Mombasa ni mdogo kuliko Tanga.
Siyo kweliDada...kama vile wabongo wakitajiwa dar picha utaletewa niya pspf na TPA...
tanga ndio uchafu gani sasa....tanga ipambanishe na lamu uko.APA tunataka dar yenye aerial shot yake inakaa ka msitu na kiroad kimoja katikati in the name of brt...Picha ni zile zile, wanapiga toka angle tofauti.
Mombasa ni mdogo kuliko Tanga.
yani dar inatandikwa na nai,mwanza inatandikwa na msa,arusha haingii kwa kisumu...ghaii..hawa watz wanafanyia nni izo rasilimali zao na iyo population
Siyo kweli
Hizi ni Tpa au Pspf!!?
![]()
![]()
![]()
Chakushangaza wanaitaja dar!!
Kwanini wanaogopa kulinganisha miji hii
Ili tuone
Wacha utaniTulianzisha moja ya Nakuru na Mwanza watu toka TZ wakaiharibu, wakishaona mambo yamewazidi, Sasa hii ya Mombasa na Dar ndio wataharibu kabisa, huyu jamaa aitwa Anneal na mwenzake kadoda, huwa hawawezi vumilia kabisa kuona miji yao inanyooshwa na miji ya Kenya. Anzisha huo uzi Mombasa na Dar utaona, kurasa nne tu halafu utaona wemesha haribu