Mombasa City Gallery

Tunataka hiyo Mombasa yenu
inayo ishinda dar
jengo 2 kila picha!!!
 
Kinyume na Mombasa, mji umepangwa



Wewe nani aliyekuambia mji ni majengo, Mji ni ulivyo pangika na kukamilika kwa miundo msingi. Fananisha dar na Mombasa Kwenye Google maps uone tofuati
Hehehe mmeanza kulialia!!
nitafika huko
tuanze na Majengo
kisha usafiri

Twende leteni majeno
marufuku kurudia jengo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…