Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ngonjera nizako
hapa post picha bila kuirudia
jengo kwa jengo tuone
Nipo hapahapa leo sitoki
Tunataka hiyo Mombasa yenu
inayo ishinda dar
jengo 2 kila picha!!!![]()
![]()
Hehehe mmeanza kulialia!!Kinyume na Mombasa, mji umepangwa
Wewe nani aliyekuambia mji ni majengo, Mji ni ulivyo pangika na kukamilika kwa miundo msingi. Fananisha dar na Mombasa Kwenye Google maps uone tofuati
Hehehe mmeanza kulialia!!
nitafika huko
tuanze na Majengo
kisha usafiri
Twende leteni majeno
marufuku kurudia jengo
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Yule mtoto achana nae twende kaziKina Zuwenna wamepotea vipi tena?
Mbona hua mnadis sana road zetu iyo apo nayo embu izungumzie