mombasite gabriel
JF-Expert Member
- Feb 15, 2016
- 387
- 372
- Thread starter
-
- #861
Hapa nakubaliana na wewe Mombasa imeipiku Dar bila kuchelewa. Mombasa is now the 2nd largest City in East and Central Africa after Nairobi.
Mshomoroni
Eti Sodoma?? Hahahaha hata hiyo Dar is sluum inaskia Mombasa inatetemeka.Utasikia walalas wakidai eti Kenya iexi survive bila nai.....hao walishindwa Ku survive bila dar slum....eti sodoma capital city
Kali kali kaliiiiiii.
Eish!! Mombasa kweli kuzuri!!!!Beautiful Roads.
Mombasa inabadilika kwa Kasi sana.Eish!! Mombasa kweli kuzuri!!!!
Hivi kwa uzuri itabidi Nairobi ikaze. Road projects na beautification ya Mombasa ni Kali.!!!!Mombasa inabadilika kwa Kasi sana.
Sonko lazima ajikaze sana, nirahisi kuchange Mombasa because of Size.Hivi kwa uzuri itabidi Nairobi ikaze. Road projects na beautification ya Mombasa ni Kali.!!!!
Beautiful Roads.