tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,972
- 20,221
Ulikuja kutembea tu...sasa ilikuaje yani matembezi yako ulikua unatumia daladala?nmeona ukisifia bei ya usafiri...ulikua umefikia wapiNimekua dar Kwa siku kumi nikifanya sampling, CBD kidogo mnajaribu ,jamii forum ndio imefanya nikaenda tz ,mwezi wa tatu nitakuja Niko na washikaji zangu wengi huko lazima nije,,,,ebu niulize mbona kuna idara ya uhamiaji ya Zanzibar pale Azam see link , Tanzania bara na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app