sean marcus
JF-Expert Member
- Sep 6, 2013
- 768
- 592
Walking through Mombasa streets.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very trueMombasa huwezi linganisha hata na Kampala. It is just too developed for an East African 2nd City.
Hivi ulifika Arusha kama ulivyoahidi?wenzako wengi walikua na magari yenu kcb blahblah wengi tu ,mnajitahidi kutumia pesaInfrastructures Mombasa imepiga dar. Dar has only blue towers to show and a large geographical area. Everything else, Mombasa is ahead of it
Tulikuja na tukakaa siku mbili. Nilimwambia mbongo mmoja humu kwamba tz is a beautiful country but developmentwise mpo nyuma japo mnakimbiza KenyaHivi ulifika Arusha kama ulivyoahidi?wenzako wengi walikua na magari yenu kcb blahblah wengi tu ,mnajitahidi kutumia pesa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulifikia wapi...tupe uzoefu wako wa hizo siku mbili..hata ivyo mwaka huu ntazuru Kenya Ni kipindi gani kizuri cha kufika uko,sipendi baridi kali..natazamia kufika NBOTulikuja na tukakaa siku mbili. Nilimwambia mbongo mmoja humu kwamba tz is a beautiful country but developmentwise mpo nyuma japo mnakimbiza Kenya
Karibu Kenya. Kama hupendi baridi basi zuru Mombasa.Ulifikia wapi...tupe uzoefu wako wa hizo siku mbili..hata ivyo mwaka huu ntazuru Kenya Ni kipindi gani kizuri cha kufika uko,sipendi baridi kali..natazamia kufika NBO
Sent using Jamii Forums mobile app
Nahitaj NBO zaidi..Haha magari yapo watu wanajiweza sanaKaribu Kenya. Kama hupendi baridi basi zuru Mombasa.
BTW nimeona mtz mwingine huu mwaka mpya huko mashinani na gari la kifahari. Mahala sikutarajia kuona mtanzania yeyote
January, February , November and December,hata mimi nilikua dar,kitu ambacho nimefurahia tz ni nauli ipo chini Sana ,tz400 , lakini makaazi yapo chini Sana ,ukitoa upanga , kijitonyama, mikocheni hata mbezi inahitaji facelift ya nguvu.Ulifikia wapi...tupe uzoefu wako wa hizo siku mbili..hata ivyo mwaka huu ntazuru Kenya Ni kipindi gani kizuri cha kufika uko,sipendi baridi kali..natazamia kufika NBO
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawasawa...karibu tena BongoJanuary, February , November and December,hata mimi nilikua dar,kitu ambacho nimefurahia tz ni nauli ipo chini Sana ,tz400 , lakini makaazi yapo chini Sana ,ukitoa upanga , kijitonyama, mikocheni hata mbezi inahitaji facelift ya nguvu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekua dar Kwa siku kumi nikifanya sampling, CBD kidogo mnajaribu ,jamii forum ndio imefanya nikaenda tz ,mwezi wa tatu nitakuja Niko na washikaji zangu wengi huko lazima nije,,,,ebu niulize mbona kuna idara ya uhamiaji ya Zanzibar pale Azam see link , Tanzania bara na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
Zanzibar ni Tanzania visiwani,sijafika Zanzibar siwezi kujibu swali ya pili!!Nimekua dar Kwa siku kumi nikifanya sampling, CBD kidogo mnajaribu ,jamii forum ndio imefanya nikaenda tz ,mwezi wa tatu nitakuja Niko na washikaji zangu wengi huko lazima nije,,,,ebu niulize mbona kuna idara ya uhamiaji ya Zanzibar pale Azam see link , Tanzania bara na Zanzibar ni nchi mbili tofauti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Poa poa tuusan:Zanzibar ni Tanzania visiwani,sijafika Zanzibar siwezi kujibu swali ya pili!!
Sent using Jamii Forums mobile app