Mombasa City Gallery

Ulikuja kutembea tu...sasa ilikuaje yani matembezi yako ulikua unatumia daladala?nmeona ukisifia bei ya usafiri...ulikua umefikia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuja kutembea tu...sasa ilikuaje yani matembezi yako ulikua unatumia daladala?nmeona ukisifia bei ya usafiri...ulikua umefikia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuja kutembea tu...sasa ilikuaje yani matembezi yako ulikua unatumia daladala?nmeona ukisifia bei ya usafiri...ulikua umefikia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitaka kujua uhalisia wa mwananchi wa kawaida wa daresSalaam ndio maana nilikua natumia daladala Kwa siku tano nilikua nimezunguka mitaa yote ya daresSalaam afu hizo siku tano zingine sasa nilikua nakula bata na washikaji.muongeze magari ya usafiri ndani ya jiji ili watu wasiwe wanasimama Kwa gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mwenyewe umeshuhudia magari ni mengi ila watu ni wengi zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa sasa nakaa Pwani, Ila dar nafika kila mwezi na nmekaa Dar sana kabla sijahama kikazi...ofcz unalosema uko sahihi kabisa..
Ulifika oysterbay,Masaki? Sinza vp

Sent using Jamii Forums mobile app
Oyster bay,masaki zipo Sawa lakini sinza bado hadhi ya chini Sana ,nilipita sinza nikienda mbezi Africana kumuona mshikaji wangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sinza uko ndani kuko poa Ila ndio usipalinganishe na Masaki, ulifika wap kwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenge,tegeta,kawe ,kimara,magomeni, kijitonyama, upanga,mbezi,mwananyamala ,manzese, temeke,mbagala,gongolamboto, karibu mitaa zote za dar,nikaenda hadi makumbusho , kivukoni pale nikakaushiwa pweza nikala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania matajiri ndio wana chuki na ndio hawa wamo humu jf. Wabongo wa kawaida kule vijijini ni tofauti
You could be true,but I beg to differ with you sister Jane.humu ndani sidhani kama yupo mtanzania mtajiri all said and done Tanzanian wanatuona kama enemy ila sisi tunawaona kama our young brothers who still need a shoulder to lean on.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…