MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 28,064
- 31,401
Naanza na wewe ufiche Upumbavu wakoNikuulize dada, hapo ni CBD?? Yaani mwanzo niulize, barabara hii mbona vumbi kotekote, halafu kandokando hamna sidewalks, na vibanda hivyo vyafanya nini katikati ya jiji??? Sehemu tupu ambazo zinafanya huo mji ukae si mji tena
View attachment 472918
hii sio CBD
Hapo ni pembeni ya Jiji
panaitwa Morocco sqr
Bado panajengwa