Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We hushangai miji yenu yote mnacompare na Dar pekee...yani nai na Dar,uku mombasa na Dar. ...Dar ni kubwa kuliko Kenya ,hahaha
We hushangai miji yenu yote mnacompare na Dar pekee...yani nai na Dar,uku mombasa na Dar. ...Dar ni kubwa kuliko Kenya ,hahaha
Joburg sio level yenu hata kidogo. ..lagos yenyewe sema ni pako unplanned tuNi nyinyi mlianza kucopmare Nairobi na dar, ila sisi hatungefanya hivyo, sisi Nairobi tunauzi kwenye Nairaland, tunaingia war na Jo'burg and Abuja. Dar kama ni sisi tungeipa Mombasa ichuane, lakini Nairobi imeizidi hadi haina haja kucompare
Joburg sio level yenu hata kidogo. ..lagos yenyewe sema ni pako unplanned tu
Dar ndio hyo inawapumulia sahv uongo? Zaman mlikua mkiionea sana...lakini nairobi inakimbia vizur project za barabara nmezikubali,back to the topic joburgy inawapita kwa kila kitu nilini mtakua level moja?nawaza tu east Africa yote combined joburgy ndio mji tujifunze kwao! !Tehehehe... Na Dar level yake ni wapi?
Joburg sio level yenu hata kidogo. ..lagos yenyewe sema ni pako unplanned tu
Dar ndio hyo inawapumulia sahv uongo? Zaman mlikua mkiionea sana...lakini nairobi inakimbia vizur project za barabara nmezikubali,back to the topic joburgy inawapita kwa kila kitu nilini mtakua level moja?nawaza tu east Africa yote combined joburgy ndio mji tujifunze kwao! !
Tuonyeshe na tuk tuk zenu za mombasaWajua kama ilivyo Sandton, ndivyo ilivyo Upperhill, Zote zauindwa kwa wakati mmoja
Sandton SA
View attachment 484364
Upperhill Nairobi
![]()
Tunasonga nao one on one!!
Tuonyeshe na tuk tuk zenu za mombasa
Hyo ndo the best luxurious tuku tuku?