Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania, Uganda, Rwanda, DRC, South Sudan, Ethiopia na Kenya.
Nchi karibia zote ukanda huu. Kenya na Uganda zinategemea bandari ya Mombasa kwa % kubwa zaidi, kuna mizigo ya Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, S.Sudan, DR.Congo na Somalia. Alafu kwenye exports kuenda nje kando na mizigo ya aina nyingine chai na kahawa yote ukanda huu inapita bandarini Msa, hadi na za Malawi, Mozambique, Madagascar na Ethiopia. Naona mmebanwa kweli kweli na sasa mnatafuta pa kupenyeza, kwa nguvu zenu zote. [emoji38] Kenya's Mombasa port on course for significant cargo increase | Logistics | Supply Chain DigitalHiyo mizigo inapita hapo mombasa kwenda wapi? Hiyo port ina serve nchi zipi?
fool, where is bulk oil figures? do u realize oil to Zambia, DRC, Malawi, Rwanda, Burundi n Uganda pass through Tanzania?
Nchi karibia zote ukanda huu. Kenya na Uganda zinategemea bandari ya Mombasa kwa % kubwa zaidi, kuna mizigo ya Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi, S.Sudan, DR.Congo na Somalia. Alafu kwenye exports kuenda nje kando na mizigo ya aina nyingine chai na kahawa yote ukanda huu inapita bandarini Msa, hadi na ya Malawi na Mozambique. Kenya's Mombasa port on course for significant cargo increase | Logistics | Supply Chain Digital
Aaaah hiyo sio ishu,wao muhimu ni double hata kama inapakuliwa pumba.Pamoja na hilo ila mnadaiwa madeni mpaka mchina atakuja kuwaoa wote hapo Kenya
Hizo bidhaa kutoka Kenya ni zipi? Sabauni na dawa za kusugulia meno?Huyo mungu mtu unayemsifia mzawadieni muhula mwingine. Maanake chini ya utawala wake Kenya imefaidi kibiashara. 2015/16 Kenya ndio ilikuwa na deficit kwa mara ya kwanza kwenye biashara kati ya Kenya-Tanzania. 2017 Tz ikarudi tena kwenye deficit 2018 mkavunja rekodi ya miaka sita ya kununua bidhaa za Kenya kwa wingi. Viwanda vya Kenya vimefaidi mno. Bandari ya Mombasa nayo imeshamiri na mizigo inayoelekea Tz kaskazini imeongezeka kwa kasi. Taasisi zenu mmezidumaza kwa kuendeleza utamaduni wa kungoja maagizo kutoka juu, huku wenzao Kenya wakiwezeshwa zaidi kufikia maamuzi bora na ya kitaalamu.
Budaa, we dont rely on mere words from cheap tabloids, twende kwa facts. Msa port haina nchi inayo serve for 100% of its imports. Uganda ndio kidogo anatumia hiyo port sana. Somalia wana bandari yao. S.Sudan ni failed state haina mzigo wa maaana. Burundi 100% anatumia DSM port na pia eastern Congo na Rwanda.
Sasa nyinyi huo mzigo wenu mkubwa hivyo unakwenda wapi? Speaking of export tuna korosho na ufuta, shaba ya Zambia na Congo, Magogo na timber products from TZ, Malawi, Congo, Zambia and Zimbabwe, Mineral concentrates. Cargo volume for exports iliyopo DSM port ni kubwa kuliko Msa port. Sasa niambie, hizo figures za mzigo wa hapo msa inazitoa wapi?
Hata hii comment yako ni maneno tu, figures zipo wazi kwenye mada ya uzi huu. Ukiacha kujitia hamnazo unaweza ukapata 'break down' ya takwimu rasmi mitandaoni kwenye site ya KPA. Sijui leo utasema mnaonewa na nani, maanake mabeberu wenu wapendwa hawahushki kwenye masuala haya.
Fool, those questions ask your National Bureau of Statistics.fool, where r bulk oil figures in tonnage? do u realize oil to Zambia via TAZAMA pipeline, to DRC, to Malawi, to Rwanda, to Burundi n to Uganda pass through Tanzania?
Oil dealers now prefer Dar es Salaam to Mombasa port
Why Kenyans, their leaders and their media are busy taking much time talk about Tanzania and Magufuri also comparing everything from Tanzania,some time use foolish words and propaganda ??Through logic thinking ,it is inferiority and fearness on power of Tanzania.I would like to tell you my neighbours Kenyans,you have a lot to learn from Tanzania started by politics but if you are concentrating much on inferiority and mwambafying for nothing you are going to loose a lot.Propaganda will never help anyathing in this new world.Go and ask your fellow neighbours like Uganda,Rwanda, Burundi, south sudan and Congo will tell about TanzaniaAccording to the reports both from Kenya Bureau of standards and Tanzania National Bureau of statistics, it has emerged than Mombasa port alone handle twice the amount of cargo that all Tanzanian Ports handled when combined together.
The performance of Mombasa port last year was recorded at 34.4 million tonnes of cargo while all the Tanzanian ports combined recorded a total of 17.2 million tonnes of cargo. In Tanzania, the leading port by performance was port of Dar es salaam which recorded a total of 16,405,000 tonnes followed by Tanga which recorded 619,000 tonnes and finally Mtwara that did 270,000 Tonnes.
Nimesahihisha kiingereza chako. Nimekupa 3/10.Why Kenyans, their leaders and their media are busy taking much time talk about Tanzania and Magufuri also comparing everything from Tanzania,some time use foolish words and propaganda ??Through logic thinking ,it is inferiority and fearness on power of Tanzania.I would like to tell you my neighbours Kenyans,you have a lot to learn from Tanzania started by politics but if you are concentrating much on inferiority and mwambafying for nothing you are going to loose a lot.Propaganda will never help anyathing in this new world.Go and ask your fellow neighbours like Uganda,Rwanda, Burundi, south sudan and Congo will tell about Tanzania
Please just type in Swahili I will still understand youWhy Kenyans, their leaders and their media are busy taking much time talk about Tanzania and Magufuri also comparing everything from Tanzania,some time use foolish words and propaganda ??Through logic thinking ,it is inferiority and fearness on power of Tanzania.I would like to tell you my neighbours Kenyans,you have a lot to learn from Tanzania started by politics but if you are concentrating much on inferiority and mwambafying for nothing you are going to loose a lot.Propaganda will never help anyathing in this new world.Go and ask your fellow neighbours like Uganda,Rwanda, Burundi, south sudan and Congo will tell about Tanzania
"I will still understanding you" na wewe unapuyanga tu, kujifanya mjuaji!!Please just type in Swahili I will still understanding you
"I will still understanding you" na wewe unapuyanga tu, kujifanya mjuaji!!
Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
🙄🙄🥴🤐Why Kenyans, their leaders and their media are busy taking much time talk about Tanzania and Magufuri also comparing everything from Tanzania,some time use foolish words and propaganda ??Through logic thinking ,it is inferiority and fearness on power of Tanzania.I would like to tell you my neighbours Kenyans,you have a lot to learn from Tanzania started by politics but if you are concentrating much on inferiority and mwambafying for nothing you are going to loose a lot.Propaganda will never help anyathing in this new world.Go and ask your fellow neighbours like Uganda,Rwanda, Burundi, south sudan and Congo will tell about Tanzania
Kwanza tuko na 3 years head start kwa mambo ya SGR. We have already fixed all the teething problems na saa hii SGR inachapa kazi bila mchezo. Upee Mkenya 3 years headstart halafu umfikie? Wapi? These guyz will always play catch up.Uuwi!!!!!! Double double kila mahali! Alafu kule kwa SGR wanaamini wataperform vizuri kutuliko, how now!?