The Ideologist
JF-Expert Member
- Nov 11, 2012
- 486
- 256
Wiki hii Habari ya Mjini ni Mombasa Rock Festival, Tamasha hilo limegharimu kiasi cha shilingi milioni mia mbili za kenya (2,000, 000ksh) Zikiwemo Gharama za kuwalipa wasanii, malazi, usafiri, chakula na kadhalika. Ufuatao ni Mchanganuo wa Malipo kwa wasanii walioperfom.
CHRIS BROWN USD 900,000 (90 MILION KSH, 1.9 BILIONI ZA KITANZANIA), Hizo ni kama zifuatavyo makubaliano yalikuwa kati ya agency mojawapo ya London na mapromota wa Kenya Maarufu kama Wale Wasee Limited the Kenyan promoters, ambapo sept 30 chris brown alipewa 550,000 USD zikiwa ni $200,000 (Ksh20 million) kama za usafiri private Jet and $350,000 (Ksh35 million) pocket money au malipo yake binafsi. iliyobakia $350,000 (Ksh35 million) alilipwa alipowasili mombasa kama walivyokubaliana.(FIESTA 2016 MJIPANGE NASKIA SALLAM ALIKUWEPO HUKO KWENYE MISHEMISHE ZA KUMLETA BONGO)
WIZKID- Alilamba 4 milioni ksh (kama milioni 86 za kibongo).
ALI KIBA- Alilamba 2 million ksh (kama milioni 43 za kibongo).
VANESSA MDEE-Alilamba 2 million ksh (kama ali kiba mwanzo walitaka kumpa 1 milioni ksh akagoma)
NAZIZ-Alilamba 800,000 ksh
NB.
Mziki wa Bongo umekuwa sana wasanii wa bongo wanalipwa fresh kenya wasanii wanaopata pesa kama hizo kenya ni wachache mfano sauti sol. Inabidi wasanii wabongo wakomae walipwe pesa nyingi kwenye show za ndani, maana malipo ya show za ndani yanasikitisha sana bado kuna udhalimu. show moja kenya kwa msanii wa bongo anarudisha pesa aliyomlipa campos au nicky.
SOURCE.
1) NAIBUZZ & 2)Ghafla zote ni website from Kenya