Mombasa Rock Festival malipo ya wasanii walioperfom

Mombasa Rock Festival malipo ya wasanii walioperfom

The Ideologist

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2012
Posts
486
Reaction score
256
Wiki hii Habari ya Mjini ni Mombasa Rock Festival, Tamasha hilo limegharimu kiasi cha shilingi milioni mia mbili za kenya (2,000, 000ksh) Zikiwemo Gharama za kuwalipa wasanii, malazi, usafiri, chakula na kadhalika. Ufuatao ni Mchanganuo wa Malipo kwa wasanii walioperfom.

CHRIS BROWN USD 900,000 (90 MILION KSH, 1.9 BILIONI ZA KITANZANIA), Hizo ni kama zifuatavyo makubaliano yalikuwa kati ya agency mojawapo ya London na mapromota wa Kenya Maarufu kama Wale Wasee Limited the Kenyan promoters, ambapo sept 30 chris brown alipewa 550,000 USD zikiwa ni $200,000 (Ksh20 million) kama za usafiri private Jet and $350,000 (Ksh35 million) pocket money au malipo yake binafsi. iliyobakia $350,000 (Ksh35 million) alilipwa alipowasili mombasa kama walivyokubaliana.(FIESTA 2016 MJIPANGE NASKIA SALLAM ALIKUWEPO HUKO KWENYE MISHEMISHE ZA KUMLETA BONGO)

WIZKID- Alilamba 4 milioni ksh (
kama milioni 86 za kibongo).
ALI KIBA- Alilamba 2 million ksh (kama milioni 43 za kibongo).
VANESSA MDEE-Alilamba 2 million ksh (kama ali kiba mwanzo walitaka kumpa 1 milioni ksh akagoma)
NAZIZ-Alilamba 800,000 ksh

NB.
Mziki wa Bongo umekuwa sana wasanii wa bongo wanalipwa fresh kenya wasanii wanaopata pesa kama hizo kenya ni wachache mfano sauti sol. Inabidi wasanii wabongo wakomae walipwe pesa nyingi kwenye show za ndani, maana malipo ya show za ndani yanasikitisha sana bado kuna udhalimu. show moja kenya kwa msanii wa bongo anarudisha pesa aliyomlipa campos au nicky.

SOURCE.
1) NAIBUZZ & 2)Ghafla zote ni website from Kenya
 
Mkuu Hi habari yako ni ngumu kuimeza.
Hasa hasa hapo kwenye mijimalipo yakufulu.
 
sidhani kama Alikiba amelipwa hicho kiasi maana hata kiasi ulicho taja cha V walikuwa hawamlipi hivyo ndio maana alikataa kabisa V asingelikataa million 43 V na A walikuwa wanalipwa pesa za kitanzania zisizo pungua million 10 lakini v aka kataa na alikiba akakamatia fursa....
 
Hiyo yote ni juhudi na bidii za jasho lao watu wamewekeza nguvu hayo ni matunda ya jasho lao
Milion 200 Za kenya ni kama bilion 5 kasorobo za kibongo c ndio?
hiv wewe kama muandaaji unapewa bajet nzima kitakuwa ni hicho kiasi utakubali?

Ni ngumu kurudisha hiyo pesa.ni rahisi kutoirudisha hiyo pesa c itakuwa ni biashara kichaa hiyo?

vanesa alikuwa analialia instr kuwa anataka apewe pesa yake yote kenya sh 700000.
 
sidhani kama Alikiba amelipwa hicho kiasi maana hata kiasi ulicho taja cha V walikuwa hawamlipi hivyo ndio maana alikataa kabisa V asingelikataa million 43 V na A walikuwa wanalipwa pesa za kitanzania zisizo pungua million 10 lakini v aka kataa na alikiba akakamatia fursa....
Una maanisha nini mkuu sijakuelewa fafanua vizuri
 
Milion 200 Za kenya ni kama bilion 5 kasorobo za kibongo c ndio?
hiv wewe kama muandaaji unapewa bajet nzima kitakuwa ni hicho kiasi utakubali?

Ni ngumu kurudisha hiyo pesa.ni rahisi kutoirudisha hiyo pesa c itakuwa ni biashara kichaa hiyo?

vanesa alikuwa analialia instr kuwa anataka apewe pesa yake yote kenya sh 700000.
mkuu hizo gharama ni pamoja na maandalizi venue, malazi, sound equipment, promo yaani mpk kufanikisha ishu nzima ha n.k believe me sio pesa ndogo hpo kumbuka wanatangaza count ya mombasa na ishu zake so target sio lazima upate profit hiyo inaitwa future profit.
mkuu ile ya vanessa ilikuwa ni last payment ya touch down aliona wanamletea magumashi
 
sidhani kama Alikiba amelipwa hicho kiasi maana hata kiasi ulicho taja cha V walikuwa hawamlipi hivyo ndio maana alikataa kabisa V asingelikataa million 43 V na A walikuwa wanalipwa pesa za kitanzania zisizo pungua million 10 lakini v aka kataa na alikiba akakamatia fursa....
Kwani mill 43 za alikiba ni ndogo kwa 10 mill??
 
Kuna siku Eminem alialikwa kwenda kufanya show huko marekani jamaa akawaambia bila 2bil hafanyi show!!

Hapa kwetu msanii akipewa laki sita anafanya show masaa 8 bila kushuka jukwaan
 
Hizo PESA umezitolea wapi akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Back
Top Bottom