Mombasa: Shehena ya Pembe za ndovu yakamatwa Bandarini

Kwa Serikali ya Tanzania kesi ya ujangili si lolote ! Mbunge wa mbarali na familia yake ni ushahidi wa wazi kabisa , ugumu upo kwenye kesi za kisiasa tu .

Mnamkumbuka yule mzungu wa Kinana ? Je kesi yake bado ipo ?
 
Kwanza hizo Uniform za huyo Mwanajeshi sio za Tanzania.
Shame on you Mleta mada
 
Na wewe umehusika hapo maaana wamevuka vizuizi kibao ambavyo ww ulikua unavisimamia
 
Kwa Serikali ya Tanzania kesi ya ujangili si lolote ! Mbunge wa mbarali na familia yake ni ushahidi wa wazi kabisa , ugumu upo kwenye kesi za kisiasa tu .

Mnamkumbuka yule mzungu wa Kinana ? Je kesi yake bado ipo ?
wenyewe wanasema ni maigizo toka juu
 
Jama
Jamani,zile scanner alizo amuru mkuu zifungwe imekuwaje?
 
Kwahiyo hiyo shehena ilijipeleka yenyewe bandarini?

Document zina majina ya nani au kampuni gani inayosafirisha consignment hiyo? Na receiver huko ughaibuni ni nani au kampuni gani?

Kama hakuna maelezo hayo tuondoleeni huu upuuzi hapa JF tafuteni blog za watu wenye ubongo wa Tembo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…