Mombasa: Shehena ya Pembe za ndovu yakamatwa Bandarini

mzigo uonekane mwenyewe asijulikane,meli iliyokamatwa na nyara za serikali mbona haikutaifishwa,tumeshawapa nchi kazi kwao.
 
Uwepo wa Kinana kwenye Safu ya CCM ndio haya matokeo yake!
 
Katibu mkuu maliasili mwanajeshi, mkurugenzi TANAPA awali alikuwa mkuu wa majeshi and host of assistant wanajeshi.

Bado kuna ujangili, kila mtu na taaluma yake.
Mkurugenzi TANAPA Allan Kijazi hajawahi kuwa mkuu wa majeshi, usimchanganye na mwenyekiti wa bodi ya TANAPA retired General George Mwita Waitara.
just for keeping records in good archives
 
Kwani ni KENYA au Tanzania?
 
Uko bandari ipi? Au ndio ninyi vishoka!!!

 
Watu mna stress habari zimetokea kenya,mna zihusisha na serikali ya Tanzania.Someni vizuri acheni kukariri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…