Mombasa: Walipia pesa kuangalia vijana wadogo wakifanya ngono na wanyama

Wazungu ni watu wema sana hawawezi kufanya hivyo.

Kwenye uzi wa huyu anaejiita MK254 niligusia hayo lakini hakunielewa. Namshangaa kwa comment yake ya humu kuhusu wazungu.
 
Hawana tofauti kwa hakika, wapatie image ya watu wa kwao ama hata watoto wao kama wamezaa na mbwa kichwani tu wala isiwe vivid.
 
Hili linatokea hapo tu Kenya... Kama ni kweli bbasi lipo njiani kutokea hata hapa kwetu Tanzania....
 
Tunamuhitaji Ibrahimu atuombee msamaha kama alivyowaombea wakazi wa Sodoma na Gomora
 
Wazungu ni watu wema sana hawawezi kufanya hivyo.

Kwenye uzi wa huyu anaejiita MK254 niligusia hayo lakini hakunielewa. Namshangaa kwa comment yake ya humu kuhusu wazungu.

Wazungu ni watu wema, tena sana na ndio maana kipindi fulani walikupa makazi kwao Canada ukaishi, kula na kubweteka huko kwao wewe na wanao. Huku ukiwatukana kwenye mitandao na kuwaita kafir kama ilivyo kawaida yenu, kule Syria wanauana na kukimbilia kwa hao hao "makafir" na kuendelea kutenda maovu huko.

Sasa nikirejelea kauli yangu kwa wazungu, ni watu wema, ila baadhi yao wanatenda maovu wao kama wao na sio kwa niaba ya dini au kwa niaba ya mungu fulani. Hili nitaendelea kukupa darasa kulihusu hata ukiendelea kuniibukia kwenye mada nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…