Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maza ni mdini haswaMombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
Si imekuwa kweli? maza ni mdini haswaDuh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Na siku ingine akisema jirambe na ccm,atatuokota.Watu mko jikoni kabisa.
Akusikilize Kwa kweli,umenifunza mengi humu jf hasa kimataifa.Mkuu naomba kazi
Pole, lakini... Omary Omary Alisema " kichwa cha nyoka hakibebi mzingo, na katu Maji hayapandi mlima"si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
tulimvumilia kwa uzi wake ule alioleta utabiri mwaka 2015. akaweka jina mwishoni kwenye watu 10 uwezekano wa kuwa kiongozi mkuu, hakika kama alivyooneshwa kwa jicho la rohoni ikawa. alijipatia sifa na heshima humu jukwaani; leo wanajitokeza wenye maono anawabeza na kuwaita waongo. 😠Pascal Mayalla chutama Muungwana
Sema hata GENTAMYCINE 2013 alitabiri, 2014 Pascal Mayalla akaja na utabiri wake wa jicho la tatu kiujumla hawa wenzetu wana details nyingi ila wao Kwa wao wanachukuliana powatulimvumilia kwa uzi wake ule alioleta utabiri mwaka 2015. akaweka jina mwishoni kwenye watu 10 uwezekano wa kuwa kiongozi mkuu, hakika kama alivyooneshwa kwa jicho la rohoni ikawa. alijipatia sifa na heshima humu jukwaani; leo wanajitokeza wenye maono anawabeza na kuwaita waongo. 😠
maua ni yako mkuu👏Hii ni leo wakati huu uzi Una week 3
umeitendea haki heshima yako mkuu. huu ndio ustaarabu. nakurudishia hadhi yako. punde utapewa ubalozi ukale mema ya nchi.Mkuu britanicca , kiukweli, umetisha!, nakuomba samahani kukuita muongo na mzushi!, na badala yake, kuanzia sasa nakupa maua yako.
P.
Kwa kweli walichomfanyia JPM CCM ni mashetani.Alipigwa timing ya hatari na alijua wapinzani ndio tatizo kumbe sio kweli,na angekumbatia wapinzani hadi leo angekuwepo maana ndio watu sahihi,CCM kina muda toka kimeacha kuwa chama,limebaki ni genge la wahuni na wahalifu.Jiwe aliishi maisha ya kudhania kuwa cdm ndiye adui namba Moja,kumbe chawa wa kummaliza wapo kwenye koti lake alilolivaa
Matokeo yake wakamlipua
mkuu akaunti yako hii au kuna msaidiziNaomba uwe una ni tag kila andiko lako ukiweka humu.maana mimi napenda kujifunza na kusoma na kuwasoma watu wenye akili na upeo mkubwa aina yako
Kipindi kile pamoto Ukraine/Russia ulielezea upo Russia tukuulize chochote,nisaidie link ya ile thread,Tuko pamoja mkuu jumba jeupe mithiri ya Meli
Yote mavi ukifika muda next year huyo bibi yenu ataondoka tena kwa lazima aendelee kujiandaa kucheza kiduku tutaonana muda ukifika
We ungekuwa demu wanaume wangekuchezea sana, unapenda sana kupapatikia watu...mara Kafulila, mara Makonda duh umetishaNaomba uwe una ni tag kila andiko lako ukiweka humu.maana mimi napenda kujifunza na kusoma na kuwasoma watu wenye akili na upeo mkubwa aina yako
Nenda kanunue basi,too bad Samia hatakuuzia misalaba,labda Tende utapata, misalaba nenda VaticanBora tuuziwe misalaba
Hayawi hayawi Sasa yamekuaDuh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P