DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Utawala wa Samia hauna siri, yaani unaweza kujua kesho nini Samia atafanya.

Imagine watu walisema kule twitter tena watu wa hovyo tu kwamba Kidata anaondolewa, kweli wiki 2 mbele akaondolewa.

Huyu jamaa alisema wiki 3 zilziopita kwamba Mombo anateuliwa kua mkuu TISS, leo kweli anateuliwa.

Hii nchi siri hakuna tena.
 
Mwanamke na siri wapi na wapi?
 
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!

Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.

P
Mzee mwenzangu bado unaiogopa system? Ahhaa bwana..
 
Utawala wa Samia hauna siri, yaani unaweza kujua kesho nini Samia atafanya.

Imagine watu walisema kule twitter tena watu wa hovyo tu kwamba Kidata anaondolewa, kweli wiki 2 mbele akaondolewa.

Huyu jamaa alisema wiki 3 zilziopita kwamba Mombo anateuliwa kua mkuu TISS, leo kweli anateuliwa.

Hii nchi siri hakuna tena.
Kuna mahala kuna bonge la tundu watu wanavujisha habari kupitia tundu hilo
 
Back
Top Bottom