DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!

Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.

P
Uongo na Uzushi, siyo.?
 
Pascal Mayalla chutama Muungwana
 
Huyu maza Kila mara anaivuruga vuruga tu hii taasisi Kuna shida Gani?Kwamba uchumi umeharibika?lakini si kaharibu yeye mwenyewe Kwa kulazimisha wajomba zake waarabu wamiliki njia kuu za vitega uchumi tz.idara inageuzwa geuzwa kama karanga za kukaangwa
Sasa ukitaka awape Vatican ili watuuzie misalaba??

Sasa sisi misalaba ya kazi Gani Kwa mfano.
 
Mtoto wa nyoka ni nyoka.
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!

Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.

P
 
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!

Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.

P
Si ni kweli na wewe Ndio ulitueleza, pale Rombo - natania Kaka
 
Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!

Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?

Cc Pascal Mayalla

Britanicca

Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.

Wewe lazima unakula keki ya taifa si bure. Kila unachosema sami100 anafanya. Sema watu wenyewe machawa ndo maana wanafukuzwa. Uchawa una mwisho wake mara nyingi
 
Back
Top Bottom