Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
GENTAMYCINE hua anaanticipate tuHuyu GENTAMYCINE yuko vizuri kwenye kuona mengi.................acha wengine tuendelee kumuwinda yule mganga wa bagamoyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
GENTAMYCINE hua anaanticipate tuHuyu GENTAMYCINE yuko vizuri kwenye kuona mengi.................acha wengine tuendelee kumuwinda yule mganga wa bagamoyo
Hehe kuna mengine namuelewaga japo kuna sehemu watu wanawahigi kumlia timing kwenye maonoGENTAMYCINE hua anaanticipate tu
Emb acha utani Steve Nyerere ninayemjua mm auNimeandika kwa uchungu kutokana na jinsi Watanzania wasivyojua mambo ya nchi yao wenyewe. Wanadhani eti watu wa usalama huwa wana mandate ya kuzuia wiz au kutapanya mali ya umma au kwamba bosi wao Ikulu huwa hapendi wizi au mtapanyo, waste and abuse.
Kiongozi anaechukua kodi zenu anaenda kuzichoma kwa kuwapandisha kina Steve Nyerere first class kuzunguka dunia anajali ubadhilifu wa mali ya umma ?????
Wachache sana wanakuelewa au kuzingatia kile unachokiandika hapa. Watu hawafuatilii mabandiko Yako Kwa utulivu.Kafukuzwa kisa alikuwa na mpango fulan mbovu yeye na February mauzi dhid ya Taasisi ya Nyumba nyeupe
Utakua mgeni jf
These were normal
In 2016-2015
It’s getting back
Endeleeni tu Kunichukulia Poa GENTAMYCINE hapa JF, ila ipo Siku mtaijua Thamani yangu na Wote hapa kunipigia Saluti.Huyu GENTAMYCINE yuko vizuri kwenye kuona mengi.................acha wengine tuendelee kumuwinda yule mganga wa bagamoyo
Haters wa Karama kubwa niliyopewa na Mwenyezi Mungu huwa na wala hamjawahi kukosekana hapa JamiiForums.GENTAMYCINE hua anaanticipate tu
Aliyetabiri Magufuli atakua Rais ni member anajiita MAGAMBA MATATU hiyo ilikua mwaka 2012 .Pasko kama kawaida yake alicopy na kupaste idea ya jamaa kwa thread yake ya mwaka 2014 alafu akataka kujisifia kuwa yeye ndio katabiri 😆😆👇👇tulimvumilia kwa uzi wake ule alioleta utabiri mwaka 2015. akaweka jina mwishoni kwenye watu 10 uwezekano wa kuwa kiongozi mkuu, hakika kama alivyooneshwa kwa jicho la rohoni ikawa. alijipatia sifa na heshima humu jukwaani; leo wanajitokeza wenye maono anawabeza na kuwaita waongo. 😠
KwikwikwiiiEndeleeni tu Kunichukulia Poa GENTAMYCINE hapa JF, ila ipo Siku mtaijua Thamani yangu na Wote hapa kunipigia Saluti.
Plagiarism Pascal MayallaAliyetabiri Magufuli atakua Rais ni member anajiita MAGAMBA MATATU hiyo ilikua mwaka 2012 .Pasko kama kawaida yake alicopy na kupaste idea ya jamaa kwa thread yake ya mwaka 2014 alafu akataka kujisifia kuwa yeye ndio katabiri 😆😆👇👇
Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa
Kwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa: "Tanzania itatawaliwa kidikteta" Ni vigumu sana kwa mtu asiyeona mbali kunielewa kirahisi na pia ni rahisi sana kwa anayependa demokrasia kunibeza na kuniona kama naota. 1. Kwanza kuna uwezekano mkubwa...www.jamiiforums.com
MAG3 alitaja jina la mwanasiasa yeyote moja kwa moja kwenye andiko lake?Aliyetabiri Magufuli atakua Rais ni member anajiita MAGAMBA MATATU hiyo ilikua mwaka 2012 .Pasko kama kawaida yake alicopy na kupaste idea ya jamaa kwa thread yake ya mwaka 2014 alafu akataka kujisifia kuwa yeye ndio katabiri [emoji38][emoji38][emoji116][emoji116]
Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa
Kwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa: "Tanzania itatawaliwa kidikteta" Ni vigumu sana kwa mtu asiyeona mbali kunielewa kirahisi na pia ni rahisi sana kwa anayependa demokrasia kunibeza na kuniona kama naota. 1. Kwanza kuna uwezekano mkubwa...www.jamiiforums.com
Siwa ndio alikuwa anazuwiaa ishu nzima wasitoke na kumtisha mama kwamba hawa asiwaguse
Mkuu masare, heshima kitu cha bure, kitendo cha kuniita mimi ni mwizi kwa kufanya plagiarism kwa copy and paste, sio kunitendea haki,Aliyetabiri Magufuli atakua Rais ni member anajiita MAGAMBA MATATU hiyo ilikua mwaka 2012 .Pasko kama kawaida yake alicopy na kupaste idea ya jamaa kwa thread yake ya mwaka 2014 alafu akataka kujisifia kuwa yeye ndio katabiri 😆😆👇👇
Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa
Kwa nini nimeamua kusema hivi? Kuna mambo matano (5) makuu yananilazimisha kusema kuwa: "Tanzania itatawaliwa kidikteta" Ni vigumu sana kwa mtu asiyeona mbali kunielewa kirahisi na pia ni rahisi sana kwa anayependa demokrasia kunibeza na kuniona kama naota. 1. Kwanza kuna uwezekano mkubwa...www.jamiiforums.com
Mkuu, Uhakiki , asante kunitetea, baadhi ya madogo humu hawana uwezo wa kuchambua mada kwa compare and contrast.MAG3 alitaja jina la mwanasiasa yeyote moja kwa moja kwenye andiko lake?
Pascal Mayalla aliwezaje kukisia jina halisi la mwanasiasa katikati ya miamba Lowassa na Membe?
Kama unabeza uwezo wa mtu, utaishi kwa huzuni kila siku kutokana na mafanikio yake. Badilika!
Do..!, Pasco the plagilist!, anafanya plagiarism kwa ku plagiarise threads za wengine na kujifanya kaandika yeye!Plagiarism Pascal Mayalla
Pascal Mayalla britaniccaSasa swal limebaki 1 tu who s the next presidor?