britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #281
👍
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
👍
Mkuu wangatala, hiki kichwa @bratanicca ni habari nyingine!, alinipaga kisa cha banyamulenge fulani, aliyezaliwa na baba sio Mtanzania, mama Mtanzania, akazaliwa huko alikozaliwa, alipofikisha umri wa miaka 5, yeye na mama yake na dada yake wakarejea Tanzania, wakabadili majina ya kibanyamulenge wakaachana nayo na kuchukua majina ya Kitanzania, wakawa Watanzania!. Hicho kisa cha huyo Banyamulenge ndicho kikanifungua macho, kwa wale "jamaa zetu", ni hakuna kitu kabisa pale ni madafu tupu yamepangana!, hakuna cha vetting wala cha nini!.
Na akakulia Mugakorongo ni Hatari mno Hiyo umenikumbusha KattoMkuu wangatala, hiki kichwa @bratanicca ni habari nyingine!, alinipaga kisa cha banyamulenge fulani, aliyezaliwa na baba sio Mtanzania, mama Mtanzania, akazaliwa huko alikozaliwa, alipofikisha umri wa miaka 5, yeye na mama yake na dada yake wakarejea Tanzania, wakabadili majina ya kibanyamulenge wakaachana nayo na kuchukua majina ya Kitanzania, wakawa Watanzania!. Hicho kisa cha huyo Banyamulenge ndicho kikanifungua macho, kwa wale "jamaa zetu", ni hakuna kitu kabisa pale ni madafu tupu yamepangana!, hakuna cha vetting wala cha nini!.
Huyu jamaa ni habari ingine!.
P
Eti unatembelea nyota za wenzio bloo , hivi ni kweli???Do..!, Pasco the plagilist!, anafanya plagiarism kwa ku plagiarise threads za wengine na kujifanya kaandika yeye!
P
yes, ipo humu, it is the most controversial scandal for the government these last few daysEmb acha utani Steve Nyerere ninayemjua mm au
Huwa unajua kucheza na upepo..Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Unataka uanze uchawa wako wewe mpuuzi?Kwa hakika Britanicca wewe siyo mtu wa kawaida hata kidogo. Wewe ni mtu mzito kama zege lililokauka.
Mkuu achana nao hao,tunaofuatilia nyuzi zako tunajua umesema mengi na yametokea,watoto wajuzi hao wasikusumbue akili.Do..!, Pasco the plagilist!, anafanya plagiarism kwa ku plagiarise threads za wengine na kujifanya kaandika yeye!
P
Bado kapangiwa kazi nyingine?.Kufukuzwa hapana sema kupangiwa kazi nyingine
PamojaHivi vichwa ndio vilikuwa vinatufanya tukeshe humu kwenye Jukwaa la Siasa.🤛
KARIBUKipindi hiki cha uchaguzi inabidi nifuatilie sana post zako humu. Uko mbele ya muda.
Si ulipata la nape na makambaTupe dokezo jingine Britanicca