DOKEZO Mombo Seleman kuwa Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa (TISS). Aliyepo anafukuzwa muda wowote

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Emb acha utani Steve Nyerere ninayemjua mm au
 
Aliyetabiri Magufuli atakua Rais ni member anajiita MAGAMBA MATATU hiyo ilikua mwaka 2012 .Pasko kama kawaida yake alicopy na kupaste idea ya jamaa kwa thread yake ya mwaka 2014 alafu akataka kujisifia kuwa yeye ndio katabiri πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Plagiarism Pascal Mayalla
 
MAG3 alitaja jina la mwanasiasa yeyote moja kwa moja kwenye andiko lake?

Pascal Mayalla aliwezaje kukisia jina halisi la mwanasiasa katikati ya miamba Lowassa na Membe?


Kama unabeza uwezo wa mtu, utaishi kwa huzuni kila siku kutokana na mafanikio yake. Badilika!
 
Mkuu masare, heshima kitu cha bure, kitendo cha kuniita mimi ni mwizi kwa kufanya plagiarism kwa copy and paste, sio kunitendea haki,
1. Kwanza naomba weka threads zote mbili kwa pamoja. - Kuanzia 2015 Tanzania itatawaliwa "kidikteta" Ukweli huu hapa
- Elections 2015 - Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
2. Kisha compare and contrast.
3. Onyesha any copy and paste kutoka kwenye thread yangu ambacho nime copy na kupaste.
Nitakushukuru!.
P.
 
Mkuu, Uhakiki , asante kunitetea, baadhi ya madogo humu hawana uwezo wa kuchambua mada kwa compare and contrast.
Hakuna copy and paste yoyote.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…