Uongo na Uzushi, siyo.?Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Mpango Gani huo mkuu?Au coup d'etat?Kafukuzwa kisa alikuwa na mpango fulan mbovu yeye na February mauzi dhid ya Taasisi ya Nyumba nyeupe
Pascal Mayalla chutama MuungwanaDuh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Naona umeongea ndugu raraa reree, au ndo nyuzi zako hizi unaongeaga badala ya ku-like 😂Kufukuzwa hapana sema kupangiwa kazi nyingine
Diwani Athumani, Said Massoro, Ali Siwa, na Selemani Mombo. Wakuu wa Tiss wanne tangu aingie madarakani. Hii imekaaje?Kafukuzwa kisa alikuwa na mpango fulan mbovu yeye na February mauzi dhid ya Taasisi ya Nyumba nyeupe
Mwambie huyo pengo anaewaongopea kuwa Mfumo kristo hauna nafasi Tena.Yote mavi ukifika muda next year huyo bibi yenu ataondoka tena kwa lazima aendelee kujiandaa kucheza kiduku tutaonana muda ukifika
😄Hawana impact yoyote hawa hata wakitemwa ni sawa tu
Foreign affairs ni kazi kubwa sana na waliopitwa tuliwasikia sana
Ila huyu kama mkuu wa wilaya tu
Ikulu imesafishwa kwani wewe unashangaa nini?Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
Sasa ukitaka awape Vatican ili watuuzie misalaba??Huyu maza Kila mara anaivuruga vuruga tu hii taasisi Kuna shida Gani?Kwamba uchumi umeharibika?lakini si kaharibu yeye mwenyewe Kwa kulazimisha wajomba zake waarabu wamiliki njia kuu za vitega uchumi tz.idara inageuzwa geuzwa kama karanga za kukaangwa
Duh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Kumekucha kumekuchaMombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
Usalama wa taifa nyma kidogo walao tinaweza kusema ilikua ni idara makini tofauti na sasa, labda kwa vile jana ni nzuri kuliko leo.
Kutoka diwani , madestus, Othuman na Apson walao tinaweza kusema tulikua na idara makini kidogo .
Si ni kweli na wewe Ndio ulitueleza, pale Rombo - natania KakaDuh....!, mbona sasa ndio umemharibia?. Hata kama ilikuwa iwe hivyo kiukweli, sasa umeisha mharibia!, all and all, japo ile ya Katto ni kweli, huu ni uongo na uzushi tuu!
Kwa nini umenitag mimi tuu?!, kama uongo huu ungekuwa kweli, na ingekuwa na mimi ni mtu wa kule, si ungeniponza bure kuonekana kama ni mimi ndie navujisha?!.
P
Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!
Swali kwanini kwa kipindi hiki wamefukuzwa sana wakurugenzi wa idara hii?
Cc Pascal Mayalla
Britanicca
Pia Soma
- Uteuzi : Abubakar Mombo Ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa,Siwa Amestaafu.
Mwamba umetisha sana. Itakuwa Katibu aliyeko kwenye hatamu kampigia upatu.Mombo Seleman aliyekuwa kwenye nafasi ya ubalozi ukanda wa Amerika Kusini wakati wa Nchimbi atachukua nafasi ya Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa aliyepo sasa!