NYEKUNDU YA BIBI
JF-Expert Member
- Oct 27, 2017
- 2,301
- 2,977
Katika maisha yangu siwezi kusahau siku ambayo nilikua jkt 821 kj Bulombora Egle coy mujibu wa sheria nikiwa katika harakati za hapa na pale za usumbufu wangu nakujikuta mjanja.
Nilikua mzee wakudoji sana basi siku hio nikawa nimechaguliwa kwata kwa kua nimrefu hivi nikawa right maker chini ya afande Ali na afande Mbaga bhasi siku hio ilikua siku ya mateso makali sana kwangu.
Sikujua hata kugeuka nyuma geuka na vile Niko mbele nikikosea kiboko cha mgongo mwendo wa pole chenga siwezi right maker huyo.
Kesho yake nikaingia mitini nikaenda zangu kuogelea bhasi jioni tukafoleni kumbe wameandika majina waliokua kwata na sehem zingine kama singe N.k
Bhasi mzee mzima nikakamatika nikaulizwa wewe ulikua kitengo gani nikajibu singe nikasimamishwa nikauliza tuoneshe kidogo hio singe imachezwa vipi daaaah
hahahahahahaaaaa!!!!!!!
Nilikula mbarati nakuning'inizwa kama chapati singe nilirusha ile fimbo kama nawinda kwale kumbe singe ina step zake mzee
Coy nzima ilikua ni furaha na vicheko vikali nikatundika mpaka miguu na mikono vikataka kukatika.
Ila siku ile nilikua kituko cha coy uzuri ilikua usiku ko sikuonekana sana na wananzengo.
Sent using Jamii Forums mobile app