Moment of Silence for Volkswagen Amarok

Nmeona kuna video nyingine ya Amrok vs Hulux.

Yani amarok anateseka kinyama wakati hilux yeye katulia tu hana presha

Hilux ateseke kwa Amarok?

Katika Pick up zote hilux ndio ya hovyo.
 
unaongeles speed. hapo wanapima towing power sio speed. tambua tofauti
 
Nmeona kuna video nyingine ya Amrok vs Hulux.

Yani amarok anateseka kinyama wakati hilux yeye katulia tu hana presha

Mzee youtube ya wapi unaangalia? Maana nilichokutana nacho mimi ni tofauti.
 
Cruise auto spare ni wauzaji wa spear party za magari
Jeep,
BMW,
Audi,
Land rover,
Porsche,
Volkswagen,
Chrysler,
Range/Land rover

Duka linapatikana MAKAO MAPYA,EDEN ROAD jirani na cafe laziz restaurant,Arusha

Kwa mawasiliano piga +255743805465,+255786050747
Email:cruisespares@gmail.com
Fb&IG:cruiseautospareparts

Pia usisite kuwasiliana nasi pia tunatoa ushauri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…