Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmeona kuna video nyingine ya Amrok vs Hulux.
Yani amarok anateseka kinyama wakati hilux yeye katulia tu hana presha
Labda ameifananisha Amarok na zile mahindra za kijani [emoji28][emoji28][emoji28]Hilux ateseke kwa Amarok?
Katika Pick up zote hilux ndio ya hovyo.
Mkuu nenda youtube u search video zipo kibaoHilux ateseke kwa Amarok?
Katika Pick up zote hilux ndio ya hovyo.
Wameionea tu. Huwezi kupambanisha gari ya kwenda shopping Mcity na gari ya kazi LC 70Amaroka gari ya kuendea coco beach hio 😹
Hilux ni one of the best pick up. Ndio maana utazikuta all over the world zinapiga mzigo kama kawaidaHilux ateseke kwa Amarok?
Katika Pick up zote hilux ndio ya hovyo.
unaongeles speed. hapo wanapima towing power sio speed. tambua tofautiChukua hio Land cruiser tuitafute Mbeya au popote unapotaka uone kama hio LC itaona hata taa za hio Amarok. Hapo Amarok inazidiwa nguvu simply because hio lc ni cc3000 au zaidi wakati Amarok ni cc2000 bahati nzuri mbio na perfomance nyingine hazihitaji maguvu yote hayo.
Nmeona kuna video nyingine ya Amrok vs Hulux.
Yani amarok anateseka kinyama wakati hilux yeye katulia tu hana presha
1GD pia inazidiwa na ya amarok 3L inatoa nguvu zaidi ya hio 1gd...kinachohitajika ni traction tu kwa matairiMpelekeeni mwenzie Hilux 1GD-FTV basi muone inakuwaje! 2.8L for show!