Momose Cheyo auzungumzia “Uchawa” wa Tanzania

Huyu hapa, Msome mwenyewe namna watu wanavyokwaa vyeo kwa sababu ya Uchawa

View attachment 3075559View attachment 3075560
Yeye mwenyewe ni chawa wa enzi na enzi tangu wakati wa Mrema NCCR mageuzi na alitumika sana dhidi ya Mrema na baada ya Mrema kufifia amekuwa akitumika dhidi ya CHADEMA.

Hata wakati alipopinduliwa uongozini UDP dola iliingilia kupitia. Msajili akarudishiwa uongozi hadi leo.

Aseme lingine lakini hilo la uchawa inabidi yeye. ndio aanze kuacha kama kweli ana.maanisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…