GE2025 Monalisa ACT: Rais Samia anafanya kazi nzuri kuliko wanaume

GE2025 Monalisa ACT: Rais Samia anafanya kazi nzuri kuliko wanaume

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Kada wa Chama cha Act-Wazalendo Monalisa ndala amesema kwa maoni yake Rais Samia anafanya vizuri kuliko hata wanaume akibainisha kuwa wasiokubali kazi zake wanaendekeza mfumo dume. Monalisa Ndala, ameyasema hayo kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV.

Huyu bado ni mwanachama wa ACT Wazalendo bado au ni mkakati wa CCM?
​

 
  • Kicheko
Reactions: Lax
hatari sana hawa wanasiasa wetu, na huyu ndo muwekaji wa kwanza wa pingamizi la mpina
 
Siku tukilikomboa taifa hili chama cha pili kukifuta kwenye siasa za nchi hii baada ya ccm ni hiki kinachoitwa ACT.

Kina wapumbav wengi sana.
 
Mkuu, matusi sio utamaduni wetu bwana. Tukana moyoni kama huwezi kuacha kabisa.
Ngoja nivumilie mkuu ila mpaka hiyo octb 29 ipite kuna uwezekano nikaliwa kichwa kwa mara kwanza!

Nyuzi kama hizi zinaleta hasira kali..
 
Back
Top Bottom