Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia kajitoa na kujitolea Maisha yake kama Zawadi kwa watanzania. Rais Samia anafanya Kazi usiku na mchana Mpaka Huruma Zinanishika Mimi. Muda na wakati wote unaona yupo kazini. Hana muda wa kupumzika wala kukaa na Familia yake.
Kila Saa na Dakika yake ina...
Kada wa Chama cha Act-Wazalendo Monalisa ndala amesema kwa maoni yake Rais Samia anafanya vizuri kuliko hata wanaume akibainisha kuwa wasiokubali kazi zake wanaendekeza mfumo dume. Monalisa Ndala, ameyasema hayo kupitia kipindi cha One on One cha Wasafi TV.
Huyu bado ni mwanachama wa ACT...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.