Rais Samia anafanya kazi usiku na mchana mpaka Huruma zinanishika. Tutamkumbuka Sana akimaliza muda wake 2030

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
40,476
Reaction score
26,173
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia kajitoa na kujitolea Maisha yake kama Zawadi kwa watanzania. Rais Samia anafanya Kazi usiku na mchana Mpaka Huruma Zinanishika Mimi. Muda na wakati wote unaona yupo kazini. Hana muda wa kupumzika wala kukaa na Familia yake.

Kila Saa na Dakika yake ina mipango na mikakati kwa ajili ya ustawi wa watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake. Kila Hatua apigayo ni kwa ajili ya kuwaendea watanzania,kila neno litokalo kinywani pake ni jawabu kwa kero na changamoto za watanzania.

Ni Mama ambaye ameletwa Duniani kwa kazi maalumu kwa Taifa hili. Yupo Hapa Kama Mtume na Mwenye kufanya kazi ya kitume kwa ajili ya watanzania. Ni mtumishi wa kweli wa watanzania aliyekabidhi Maisha yake kwa ajili ya kutoa Mwanga na nuru kwa Maisha ya watanzania. Ameinuliwa kuwa mwanga na nuru ya Taifa letu.

Ndio Maana mnaona mambo yanakwenda yakiwa yameenyooka bila kukwama wala kusuasua wala vikwazo,ndio sababu mnaona miradi ya maendeleo ikiendelea kila kona ya Nchi hii,ndio maana mnaona mishahara kwa watumishi wa umma ikitoka kwa wakati,ndio maana mnaona ajira kwa vijana zikiendelea kumwagwa mitaani ,ndio maana mnaona huduma za afya zikiboreka kila Uchao,ndio sababu mnaona umeme ukiwaka usiku na mchana bila kukatika na ukikatwa taarifa inatolewa haraka sana .

Ndio sababu mnaona wakulima wakinunua mbolea kwa nusu bei ,ndio sababu mnaona Elimu ikiwa bure hadi kidato cha sita,ndio sababu mnaona wanafunzi wa vyuo vikuu wakipokea Elfu kumi kila Uchao,ndio sababu mnaona Mishahara na nyongeza ya mishahara ikipanda kila mwaka kwa watumishi wa umma,ndio sababu mnaona Mikopo ikitolewa kwa vijana kila halmashauri.

Hayo yote yanahitaji pesa tena mabilioni kwa mabilioni. Yamewezekana hayo yote na yametekelezwa kikamilifu kwa sababu tuna Rais Ambaye anafanya kazi usiku na mchana bila kupumzika. Tuna Mama mwenye upendo wa kweli kwa Taifa letu na watanzania wote. Tuna Kiongozi mwenye uchungu na maisha ya watanzania,tuna Rais mwenye kujali Maisha ya watanzania na mwenye usikivu na unyenyekevu wa hali ya juu kwelikweli.

Kwa hakika tuna kila sababu ya kumuunga Mkono Rais wetu na kuendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania na kuliongoza Taifa letu kwa Mafanikio makubwa. Tusikubali kuona watu wachache wenye chuki binafsi wakimkwamisha Rais wetu

Hatutapata Rais Samia mwingine mwenye moyo wa upendo kwa watanzania kama ilivyo kwake. Tumtumie na tutumie kipindi hiki cha uongozi wake kutimiza ndoto zetu,kwa sababu amefungua milango kwa kila mwenye ndoto kuweza kutimiza na kuifikia ndoto yake..

Hongera sana Rais wetu kwa moyo wako wa upendo na uzalendo kwa Taifa letu. Pole sana Mama yetu kwa kazi kubwa uliyobeba mabegani Mwako. Tupo pamoja nawe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Kiafya mtu unapaswa kulala kwa masaa nane . Wewe umejuaje anafanya kazi hadi usiku? Kwani huwa unaenda kupiga chabo kwenye madirisha ya ikulu? Nonsense 😕
Endelea kulala na kukoloma kama Nguruwe halafu ukiamka unaanza kutukana matusi kama kichaa au mwendawazimu. Ni lazima ufahamu ukiwa umelala utafikiri umechomwa sindano ya usingizi huku nje kuna kazi kubwa inafanyika kwa ajili yako. Heshimu sana Serikali yetu na uwe na adabu.
 
Wewe popoma dawa yake kukuletea mgomo barid ili akili ikukae sawa kuanzia leo no kuchangia uzi zako zote za kijingi, hakuna kufungua uzi zako tutazipita tu natumain wenye akili timamu mmenielewa mara muonapo comment hy wambien na wengine kwamba mwachamba sijui mwanini tumezichoka mada za bibi yako ushung afu we ni mtu mzima miaka 50 c midogo malizia ile nyumba kupiga lipu sio unabweka bweka uchawa mwing faida hakuna
 
Huo peleka Nyumbani kwako . Usifikirie kuwa hili ni jukwaa la watoto wenzio wanaonuka maziwa
 
Ndugu zangu Watanzania,

Rais Samia kajitoa na kujitolea Maisha yake kama Zawadi kwa watanzania. Rais Samia anafanya Kazi usiku na mchana Mpaka Huruma Zinanishika Mimi. Muda na wakati wote unaona yupo kazini. Hana muda wa kupumzika wala kukaa na Familia yake.

Kila Saa na Dakika yake ina mipango na mikakati kwa ajili ya ustawi wa watanzania na Taifa letu kwa ujumla wake. Kila Hatua apigayo ni kwa ajili ya kuwaendea watanzania,kila neno litokalo kinywani pake ni jawabu kwa kero na changamoto za watanzania.

Ni Mama ambaye ameletwa Duniani kwa kazi maalumu kwa Taifa hili. Yupo Hapa Kama Mtume na Mwenye kufanya kazi ya kitume kwa ajili ya watanzania. Ni mtumishi wa kweli wa watanzania aliyekabidhi Maisha yake kwa ajili ya kutoa Mwanga na nuru kwa Maisha ya watanzania. Ameinuliwa kuwa mwanga na nuru ya Taifa letu.

Ndio Maana mnaona mambo yanakwenda yakiwa yameenyooka bila kukwama wala kusuasua wala vikwazo,ndio sababu mnaona miradi ya maendeleo ikiendelea kila kona ya Nchi hii,ndio maana mnaona mishahara kwa watumishi wa umma ikitoka kwa wakati,ndio maana mnaona ajira kwa vijana zikiendelea kumwagwa mitaani ,ndio maana mnaona huduma za afya zikiboreka kila Uchao,ndio sababu mnaona umeme ukiwaka usiku na mchana bila kukatika na ukikatwa taarifa inatolewa haraka sana .

Ndio sababu mnaona wakulima wakinunua mbolea kwa nusu bei ,ndio sababu mnaona Elimu ikiwa bure hadi kidato cha sita,ndio sababu mnaona wanafunzi wa vyuo vikuu wakipokea Elfu kumi kila Uchao,ndio sababu mnaona Mishahara na nyongeza ya mishahara ikipanda kila mwaka kwa watumishi wa umma,ndio sababu mnaona Mikopo ikitolewa kwa vijana kila halmashauri.

Hayo yote yanahitaji pesa tena mabilioni kwa mabilioni. Yamewezekana hayo yote na yametekelezwa kikamilifu kwa sababu tuna Rais Ambaye anafanya kazi usiku na mchana bila kupumzika. Tuna Mama mwenye upendo wa kweli kwa Taifa letu na watanzania wote. Tuna Kiongozi mwenye uchungu na maisha ya watanzania,tuna Rais mwenye kujali Maisha ya watanzania na mwenye usikivu na unyenyekevu wa hali ya juu kwelikweli.

Kwa hakika tuna kila sababu ya kumuunga Mkono Rais wetu na kuendelea kumuombea afya njema na nguvu za kuendelea kututumikia watanzania na kuliongoza Taifa letu kwa Mafanikio makubwa. Tusikubali kuona watu wachache wenye chuki binafsi wakimkwamisha Rais wetu

Hatutapata Rais Samia mwingine mwenye moyo wa upendo kwa watanzania kama ilivyo kwake. Tumtumie na tutumie kipindi hiki cha uongozi wake kutimiza ndoto zetu,kwa sababu amefungua milango kwa kila mwenye ndoto kuweza kutimiza na kuifikia ndoto yake..

Hongera sana Rais wetu kwa moyo wako wa upendo na uzalendo kwa Taifa letu. Pole sana Mama yetu kwa kazi kubwa uliyobeba mabegani Mwako. Tupo pamoja nawe.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548801
Matako yako wewe
 
Mkuu umesahau katag namba yako ya simu
 
Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548801kwa kweli kwa mauaji , utekaji, kunyanyanyasa na ufisadi. Wizi wa kura tutamkumbuka kwa hayo ameweka historia kubwa sana.
 
Mwanzo nilidhani ww ni mdude ila kwa sasa nimegundua wewe ni AI

Your not human being
 
Anakesha anahisi delta guard inaweza kutua usiku mamaduro maskini, kweli muhurumie anateseka na kakonda kwelikweli
 
Khanith wewe
 
We matacore si mlisema huyu ndo yuko kwenye awamu yake ya kwanza? Mmemchoka na nyie?
 
Back
Top Bottom